Nimekwisha na UKIMWI

haya dokta,kama nimekuambukiza kupanic hivi...
 
Mkuu lubede usijiamini sana,kapime tena,hivi vipimo vinataka second opinion,third na ikibifi fourth,usije ukatuumizia bana.
mumu mwenyewe hata mimi namlia target asee
 
Hongera kwa kuendelea kuwa Ngangali. Hongera sana.
Mi mwenyewe nishapiga watatu wenye Ngoma, mimi sinao. Nshapima mara kadhaa, SINAO. So, sio lazima, kupiga huyo na wewe ukaupata. Be courageous.
Kwa taarifa yako, magonwa kama kansa, tb, pressure, malaria,kisukari ni hatari zaidi ya UKIMWI. Kwa mwenye UKIMWI akizingatia masharti ya wataalamu, unaishi muda mrefu kuliko asiye na UKIMWI. So, hautishi siku hizi.
Pima, kubali majibu, zingatia ushauri wa mtaalamu wa afya. Utaishi muda mrefu mpaka utashangaa.



Wakati mwingine naona kama vile umejitakia. Cheki hapa:-
Wanawake weusi na utamu wao
 
Pole sana mkuu kama kweli limekukuta hilo..........lakini hii stori ni ya kweli?maana JF siku hizi story za kupika zimekuwa nyingi mno mtu unashindwa ujue upi ukweli upi uongo
 
ukishakuwa na mawazo kama hayo 'NIMEKWISHA' na kweli 'UTAKWISHA'! ukimwi sio kifo, huoni mwenzio amekuwa mpaka mkubwa lakini mzima!

huna haja ya kulaumu kwa sasa! kubali hali yako, utaishi maisha ya furaha
 
akijibu nitagi
 
hahahahahahahahahahahahahahhahah kwaiyo mwamba kautafuta mwenyewe sio
 
Kwanza Mimi siamini katk Ukimwi, UPUNGUFU WA KINGA MWILINI, Sasa tatizo liko wapi, VVU, Virus vya Ukimwi, HIV yote maana yake ile Ile....Unaogopa Virus hata jina havina na aliyekwambia binadamu gani asiye na Virus, Chanjo ya Polio Ni Virus aina ya Polio's virus vilivyotoka kwa nyani....Nenda kapime maana vipimo vyenyewe vinavyopimiwa Ni vyakuangalia salio lako la kinga..na c vyakuangalia virus visivyo hata na jina.....Ukimwi Ni biashara ya wazungu na inawalipa kweli...kwa kuwalisha hata binadamu wasio na virus[emoji23][emoji23]
 
Eti hauna dawa Nani alikudanganya, ARV Ni biashara ya wakubwa na wanapiga hela Afrika balaa....haitakaa wazungu wakuletee Kinga au tiba ya UPUNGUFU wa Kinga mwilini...
Wewe mwenyewe unaweza, tatizo kubwa linalowaangamiza binadam Ni kuathirika kisaikolojia....
 
mkuu fafanua kwanza
 
mkuu fafanua kwanza
Ni somo refu Sana yahitaji nitulie baadae nikuletee kwa ushahidi Uzi wakukudhibitishia si ugonjwa, unaweza kuwa na Ukimwi lkn huna Virus na hii inatokana na mazingira tunayoishi Waafrika, Lishe duni, Chanjo tupewazo mahospitalini maji machafu tutumiayo, kwakweli wazungu wametuzungurusha Sana vichwa vyetu kwenye hili...kipimo Cha Virus nafikiri kinapatikana ktk hospitali chache Sana nchi hii na kupata majibu sahihi si chini ya wiki moja na kuendelea....zahanati tunaendaga kupima UPUNGUFU wa Kinga mwilini, na unaweza kupunguzwa Kinga mwilini kwa sababu mbalimbali hata Kurithi pia....Kama huyo binti alivyokwambia Yuko sahihi kabisa....[emoji106]
 
dah,sasa hili la chanjo si hizi tunazopewa utotoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…