Hahahahaaa! Nilikuwa nashindwa niandikeje lakini nimeona ulivyomu-wish "kheri" nimepigwa bumbuwazi!
usifosi kila mtu ajue kama wewe ni mjingaUsijihangaishe kwenda kupima mkuu
Mkuu kwa nini unasema una ukimwi? Je vipimo fake hospitali ndo vinakufanya useme una ukimwi?naandika huku hali yangu ya akili ikiwa mbaya sana,mchumba wangu niliyeishi nae kwa miaka mi 3 amejifungua jana kwa upasuaji,na mwezi nov mwaka huu ilikuwa tufunge ndoa,ndugu jamaa na marafiki wote tushawatangazia na vikao viwili vya ndugu kujiweka sawa vishafanyika,nimeenda leo asubuhi nimekutana na habari tofauti kuwa mke wangu ni MUATHIRIKA na kibaya ni kwamba alizaliwa nao,nimemuuliza kwanini hakuwahi kuniambia tangu mwanzoni,anasema na yeye alikuwa hajui,kesho na mimi nataka nikapime kama hospital 5 hivi ili nijue hali yangu,mwenye lolote la busara naomba anishauri na kunipa moyo,hivi inawezekana majibu ya kesho yakaniacha salama kweli?
kubwa nawakumbusha wote kamwe usirudie kosa nililofanya mimi la kumwamini huyu mwanamke,tayari nimeshafanya kosa naomba nisilaumiwe,nishaurini vizuri nifanyaje kwa sasa,bado sijamwambia ndugu wala rafiki yeyote juu ya hili,nasubiri nipime kwanza ili nijue hatima yangu,asanteni...nikipima nitareta mrejesho kwa litakalokuwa nimelipata huko...

UPUNGUFU WA KINGA MWILINI usikukatishe tamaa ya maisha ndg maisha ya mwanadamu yana siri kubwa; think of mtu aliyekufa leo akiwa imara wa afya, tajiri wa mali etc.naandika huku hali yangu ya akili ikiwa mbaya sana,mchumba wangu niliyeishi nae kwa miaka mi 3 amejifungua jana kwa upasuaji,na mwezi nov mwaka huu ilikuwa tufunge ndoa,ndugu jamaa na marafiki wote tushawatangazia na vikao viwili vya ndugu kujiweka sawa vishafanyika,nimeenda leo asubuhi nimekutana na habari tofauti kuwa mke wangu ni MUATHIRIKA na kibaya ni kwamba alizaliwa nao,nimemuuliza kwanini hakuwahi kuniambia tangu mwanzoni,anasema na yeye alikuwa hajui,kesho na mimi nataka nikapime kama hospital 5 hivi ili nijue hali yangu,mwenye lolote la busara naomba anishauri na kunipa moyo,hivi inawezekana majibu ya kesho yakaniacha salama kweli?