Nimekwisha! Huyu mrembo wa Tiktok sijui kama ni binadamu. Toto la Kisandawe

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
34,059
Reaction score
79,413
Habari za Sabato!

Mbaya Sana! Basi tena! Akili yangu inanituma kwamba nimeshafika mwisho! Sijui kama hata nitapata nafasi ya kusema neno la mwisho! Maskini mimi! Mwisho gani huu!

Taikon wenu! Mtibeli wenu! Nimekosa balansi sheet kutokana na demand schedule ya kijinga Sana. Mimi ni kijana wa kitanzania nisiye na hatia. Sikuwa na kosa kuperuzi mitandaoni! Nikatumia haki yangu Kikatiba! Haki ya kikatiba! Wala sikuvunja Sheria yoyote!

Kuna wanaoandika No reforms no Election Mbona wao wanadunda! Wengine tunatiki oktoba mbona wao wanakula matunda. Mimi kosa langu lipi?
Nakuuliza wewe unayesoma hapa!

No! No! No! Wala Sijachanganyikiwa! Nipo sawa kabisa!

Mimi nikaingia zangu Tiktok, kwa hiyari yangu, kwa bando langu, kwa Simu yangu. Nikiwa natimiza haki ya kikatiba. Uhuru wa habari, kupata na kutoa, Uhuru wa maoni, kupokea na kutoa.

Sasa mimi, na kwa nini natumia neno "mimi" ni kwamba najieleza ndugu yangu. Nimekuwa mhanga. Nielewe!

Mimi! Mimi! Mimi! Huyo nimezoea mitandao isiyo na picha wala video na kama zipo ziwepo kwa kiasi kidogo. Unajua sisi waandishi na watunzi tunauwezo wa kufanya imagination, yaani kuunda taswira vichwani mwetu. Hivyo hatuhitaji picha au video ili kupata picha kamili. Tupe maneno alafu picha na video tuachie Sisi tutazi-generate kichwani.

Nikaanza kuperuzi! Ku- scroll! Kupangusa! Haaa! Nikaanza kuona Moto unawaka moyoni! Pressure sio pressure, sukari sio sukari!
Jamani! Hizo video nilizokuwa naziona zilikuwa za maajabu! Wanawake wa tiktok ni kama wanawake wa AI, they're not real women! Very beautiful! I didn't think It would take me at this level. Too strange!
Ooh! Ma God! I gonna get crazy!

Nikafika kwenye akaunti moja hapo ndipo nilihisi network barrier if not disconnected to my nervous. My eyes went off! Mapigo ya Moyo kupo! Kupo..poo! Kuuu. Like a last drumpbeat! Sorry Robert you're heartcharge are very low! Please recharge it before it can shutdown!

Unajua niliona nini wewe! Au unanilaumu bure! Chuki nichukie lakini roho na matatizo yangu niachie.

Nikaingia kwenye akaunti ya Yule Dada. Kumbe ni Msandawe bhana!
Sandawe woman defeats my Fate! Kapoteza nyuzijoto ya Damu yangu. Nimekwisha!

Sina tatizo la pumu lakini kadiri nilivyokuwa napitia picha na video za Yule mwanamke wa Kisandawe ndivyo nilihisi pumzi inaanza kuwa ndogo, kisha kubana. Jamani lile toto! Hapana! Toto kulitazama pumzi inabana kama nimebanwa na Jinamizi.

Huyo! Nikavutiwa zaidi na video moja, nikasema niiplay. Kwanza nikachukua earphones nikaweza sikioni, kisha nikatoka nikaenda chumbani maana sikujua nini kitatokea nitakapokuwa naitazama Ile video ya kusisimua ya Yule mwanamke wa kisandawe.

Nikaplay! Nakufa! Nakufa! Huu ndio mwisho wangu. Nitaimiss dunia. Nitawaeleza huyu Msandawe yukoje.

Basi Ile video ilipoisha nikahisi pressure iko juu. Ikanibidi nilale.

Nilipoamka nikawasiliana na Yule msandawe kupitia PM yake. Hakunijibu Muda huohuo. Nilijua angepitia akaunti yangu. Kesho yake asubuhi nikakuta alireply usiku.

Basi tukaanza kuwasiliana, hatimaye ndani ya siku tatu nikapata mawasiliano yake. Tukawasiliana zaidi kwa siku mbili zaidi. Tukapeana appointment.

Akasema yeye anataka tukakutane kwenye Boti. Yaani nikodishe Boti then twende zetu baharini. Hiyo ni First date..
Nikazama mtandaoni fasta. Kuangalia bei ya kukodi Boat. Dadeki nikakuta nzurinzuri inaanzia Dola 1000 kwa nusu Siku. Yaani masaa sita mchana.
Mmmh! Hela nyingi hiyo kwa saa sita.

Tukapanga appointment tuonane baada ya May mosi. Ila nikamwambia nimepata Boti ya Dola 1000, mimi Nina dola 800 sawa na Milioni 2 kwa mwezi may tarehe zile. Nikamwambia kama hatajali achangie iliyobaki yaani dola 200 Sawa na Laki tano.
Akaguna! Kisha hakureply tena.

Ikapita may mosi, ilipofika tarehe Tisa akanipigia simu akaniambia nimtumie hiyo dola 800 ili alipie. Hapo nikaingiwa na hofu.
Kwanza Sauti yake yenyewe ilikuwa nyembamba kama Ile ya Nicole.
Alipoona nimekaa kimya kwa kitambo akaniuliza, namba yangu inapokea pesa nikajibu ndio. Akakata simu. Kisha baada ya dakika mbili nikashangaa kiasi cha laki tano na kumi zinaingia kwenye akaunti yangu.
Nilibaki nimeduwaa!

Nikasema huyu mrembo ananiamini kwa kiasi gani. Kwanza sikuamini ikabidi niulizie salio licha ya kuwa nimeona meseji imetoka kwenye mtandao husika. Salio ni kweli limeongezeka.

Mara simu inaita, ni Msandawe. Akaniambia Kesho yake ataenda Dubai, atarudi tarehe 15 hivyo nifanye book tarehe 17 ambayo ni jumamosi kuanzia Moja jioni mpaka saa sita usiku.
Tukaagana nikiwa bado siamini!

Kumbuka nchi IPO kwenye No reforma no Election alafu mimi nakimbizana na watoto wakali.

Nilifanya Booking tarehe 12, siku ikafika. Majira ya saa mbili kasoro nipo zangu maeneo ya Posta kwenye ofisi za kukodisha Boti. Baada ya kukabidhiwa Boat pamoja na nahodha, nikaingia Majini.
Eneo la posta majira hayo linakuwa halina hekaheka tena, ukizingatia ni weekend lakini pia ni usiku wa saa mbili.

Napiga simu haipokelewi! Nikajua utani! Napiga tena haipatikani. Hapo milioni mbili yangu ikaanza kuninng'otang'ota. Kama asipokuja nitakuwa nimepoteza pesa yangu. Lakini Nikifikiri alitoa laki tano bado nikawa na tumaini.
Kuangalia saa inaonyesha saa mbili Unusu. Yule Dereva akawa ananiamba muda unaenda na wanazingatia muda.
Nikamwambia asubiri, muda ukiisha tutarudisha boat au tutakodi tena. Akaiambia kukodi tena haiwezekani kwani kuna ambao wameikodi kuanzia saa sita kamili usiku. Nikamkemea maana alikuwa akinikera.

Ikafika saa tatu usiku, hapo nikaona muda unaenda bure na pesa yangu itapotea. Mimi kwangu sio starehe kuendeshwa kwenye Boti, nilichukua Boat kwa mapenzi ya Msandawe.

Wazo likaja, niite mwanamke mwingine kumaanisha kahaba ambaye nitatumia naye masaa matatu yaliyobakia.
Nikampigia dada mmoja, akaniambia yupo Mbali. Nikampigia Mwanamke mwingine ambaye anajigongaga kwangu japo sio mzuri san. Huyu akapokea na akasema yupo maeneo ya Kinondoni Mkwajuni. Nikamwambia afanye chapu aje. Akaniambia nimsubiri akajiandae nyumbani, anaishi Makumbusho. Kimoyomoyo, mpaka makumbusho alafu aje posta hiyo itakuwa saa tano.
Nikamwambia njoo hivyohivyo nikamdanganya huku kuna sehemu atabadilisha nguo na kuoga. Akasema Fresh!

Namaliza kuongea, Simu ya Zeyna inaingia. Moyo unashuka na hasira angalau zinapoa. Aniambia ameshafika, namwambia Nahodha arudishe Boti bandarini nikamchukue Zeyna. Muda wote nasubiri nahodha alikuwa akiendesha Boat baharini lakini hakwenda mbali na bandari.

Nikashuka kwenye Boat, kutembea kidogo huku nikiangalia aliposimama Zeyna, anapiga simu ananiambia yupo karibu na kituo cha mwendokasi cha Jamhuri pale posta. Naangalia kituoni nakuta gari jeusi aina ya Harrier anaconda imesimama kwa nje amesimama mwanamke mwenye mrembo mwenye shepu la haja. Moyo ukanishuka! Nilimtambua alikuwa ni Zeyna Msandawe! Yuleyule wa Tiktok.

Nilipofika, akamuaga dereva aliyekuwa ndani ya gari, harrier. Kisha ile Harrier ikaondoka ikituacha pale.

Zeyna akavua miwani yake akaniangalia na macho yake ya kike, Mimi bado sielewi. Akatabasamu kisha tukakumbatiana.
Akaniomba samahani ambayo sikuona umuhimu wake. Kwangu la muhimu amefika.

Tukapanda kwenye Boat. Hao! Starehe zikaanza!

Zeyna hakuwa mwanamke wa kawaida. Alikuwa mzuri kuliko neno lenyewe. Alikuwa mrefu wa kawaida, kiuno chembamba, ambacho usingefikiri kingeweza kushikilia matako yake Yale ambayo yalikuwa Makubwa na yenye viashiria vyote vya ulaini kutokana na mitikisiko yake.
Maziwa yake hayakuwa madogo wala makubwa. Yalitosha kupendezesha kifua chake kidogo kama mwanamke aliyeumbwa mfano wa uzuri. Sura yake ilikuwa nyembamba mwenye pua iliyolala lakini mchongoko kiasi. Macho yake yalikuwa makubwa kiasi ya umbo la karata kisu. Rangi yake ilikuwa lightskin ambayo IPO katikati ya Maji ya kunde na nyeupe.

Zeyna alikuwa amevaa kitop kilichoacha kitovu chake wazi. Kilikuwa kitop cha pink, na chini alivaa suruali nyepesi ambayo ilimshika kiasi kwenye makalio yake huku ikiachia kuanzia kwenye mapaja mpaka miguuni
Kichwanj alikuwa na nywele low cut.

Bonge la Pisi!

Ndani ya boat kulikuwa na huduma za vinywaji kwani kulikuwa na counter yenye vinywaji ambavyo vilikadiriwa kwa hela tuliyoitoa.

Jamani! Jamani! Unajua unaweza kuuza bahari yote kwa hawa watoto.
Lile toto lilinimaliza pale tulipoweka muziki tuliwa umbali wa kutosha baharini. Kiza kikiwa kingi. Saa nne inaelekea saa tano hiyo. Yule dada wa kinondoni naye akaanza kunisumbua amefika.

Nimekwisha mimi! Huyu ni binadamu au kiumbe gani?

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
 
Umevunja Sabato kwa kuwaza mapisi,usulubiwe!
 
downloadfile.jpg
 
Back
Top Bottom