Ilimradi unamuheshimu na kumuonesha mapenzi, mimi naona poa!
Hali yako ni ya kawaida na pia ni muhimu pale unapounizwa sana. Unapenda with caution; ila kuna siku moyo waweza funguka kwa mtu mwingine, usiubanie uachie, huwezi jua feelings zaweza kuwa mutual ukarudi kuenjoy penzi la dhati!
Kwa muda huu; that is the safety way to play!
Nimetendwa sana na nimezoea sasa hivi,hata nikipenda yaani nachukulia kawaida,hata akinitenda poa tu wala siumii,aniache asiniache ni poa tu.
Yaani sifeel kuwa ni special kwangu,namchukulia kawaida sana.
Nifanyaje maana nitakuwa naumiza pale mtu anaponipenda sasa hivi kumbe hajui mi namchukulia poa tu.
AshaDii thanks much,ila nadhani itakuwa mda mrefu sanaNarudia hii kauli mara nyingi naongea... Kua Moyo ulojaliwa na Mwenyezi Mungu kupenda (kama hivo isha wahi tokea kwako) lazima utapenda tena... Lini?? Wapi?? Nani?? is another matter for wanadamu tanatofautiana in dealing with issues ambazo hutuumiza...
Hao watu unaoachana nao ni vipozeo (sio neno zuri - but most applicable hapa)... kwamba NDIO ni wapenzi wako kimwili but not Kiroho, wanakua hawajakugusa hapo - Kumbuka tu kua haimaanishi daima itakua hivo... Jua tu kwamba atakuja ambae atagusa huo moyo, mpaka mwenyewe utashangaa na kujiuliza what Hit you...
Hata mimi yamenikuta haya ngoja nisubiri coments za GT then nitajipanga sawasawa
usugu wamaanisha ya kuwa ufahari wako sasa umehamia katika aibu na fedheha yako....................kwa hiyo unajifarii na kuwa insensitive to your shameful conduct........................................kila Muumba alichokupa ukitumie kwa busara siyo kugawa kama peremende......................hata hivyo pole sana for glorifying your shame.....................