Nimekuwa sugu

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,223
Nimetendwa sana na nimezoea sasa hivi,hata nikipenda yaani nachukulia kawaida,hata akinitenda poa tu wala siumii,aniache asiniache ni poa tu.
Yaani sifeel kuwa ni special kwangu,namchukulia kawaida sana.
Nifanyaje maana nitakuwa naumiza pale mtu anaponipenda sasa hivi kumbe hajui mi namchukulia poa tu.
 
Ilimradi unamuheshimu na kumuonesha mapenzi, mimi naona poa!

Hali yako ni ya kawaida na pia ni muhimu pale unapounizwa sana. Unapenda with caution; ila kuna siku moyo waweza funguka kwa mtu mwingine, usiubanie uachie, huwezi jua feelings zaweza kuwa mutual ukarudi kuenjoy penzi la dhati!

Kwa muda huu; that is the safety way to play!
 
pole sna ila chunga kwa maana utasababisha wenzio wawe sugu kwa kuwa utakuwa unawaumiza bila wewe kujua ni skpe basi nikupe ushauri zaidi.....
 
Kama ni kweli basi ni vizuri but i believe that.
Ilimradi unamuheshimu na kumuonesha mapenzi, mimi naona poa!

Hali yako ni ya kawaida na pia ni muhimu pale unapounizwa sana. Unapenda with caution; ila kuna siku moyo waweza funguka kwa mtu mwingine, usiubanie uachie, huwezi jua feelings zaweza kuwa mutual ukarudi kuenjoy penzi la dhati!

Kwa muda huu; that is the safety way to play!
 
pole sna ila chunga kwa maana utasababisha wenzio wawe sugu kwa kuwa utakuwa unawaumiza bila wewe kujua ni skpe basi nikupe ushauri zaidi.....
Tatizo ndo hilo mana mwingine anaweza akawa serious.
 
Nimetendwa sana na nimezoea sasa hivi,hata nikipenda yaani nachukulia kawaida,hata akinitenda poa tu wala siumii,aniache asiniache ni poa tu.
Yaani sifeel kuwa ni special kwangu,namchukulia kawaida sana.
Nifanyaje maana nitakuwa naumiza pale mtu anaponipenda sasa hivi kumbe hajui mi namchukulia poa tu.

Narudia hii kauli mara nyingi naongea... Kua Moyo ulojaliwa na Mwenyezi Mungu kupenda (kama hivo isha wahi tokea kwako) lazima utapenda tena... Lini?? Wapi?? Nani?? is another matter for wanadamu tanatofautiana in dealing with issues ambazo hutuumiza...

Hao watu unaoachana nao ni vipozeo (sio neno zuri - but most applicable hapa)... kwamba NDIO ni wapenzi wako kimwili but not Kiroho, wanakua hawajakugusa hapo - Kumbuka tu kua haimaanishi daima itakua hivo... Jua tu kwamba atakuja ambae atagusa huo moyo, mpaka mwenyewe utashangaa na kujiuliza what Hit you...
 
AshaDii thanks much,ila nadhani itakuwa mda mrefu sana
 
usugu wamaanisha ya kuwa ufahari wako sasa umehamia katika aibu na fedheha yako....................kwa hiyo unajifarii na kuwa insensitive to your shameful conduct........................................kila Muumba alichokupa ukitumie kwa busara siyo kugawa kama peremende......................hata hivyo pole sana for glorifying your shame.....................
 
Hata mimi yamenikuta haya ngoja nisubiri coments za GT then nitajipanga sawasawa

mdogo wangu siyo wewe juzijuzi ulimkandia jamaa mmoja kwenye makala yako yenye mvuto mkali na kuibua hisia nzito ya kuwa njemba mmoja alikutaka akuchakuchue bila ya kujali ya kuwa wewe tena umejaaliwaa ndani ya ndoa........and the fruit of the womb being a gift from the Most High.............au ulikuwa unapiga soga tu.............au wamaanisha your marriage is inwardly dead.........................kaput kabisa........................and maybe that fornicator sought your services in earnest.........................he may have sensed something inside you..............................
 
usugu wamaanisha ya kuwa ufahari wako sasa umehamia katika aibu na fedheha yako....................kwa hiyo unajifarii na kuwa insensitive to your shameful conduct........................................kila Muumba alichokupa ukitumie kwa busara siyo kugawa kama peremende......................hata hivyo pole sana for glorifying your shame.....................

Hapo umeua mkuu.
 
Siku utakavyokuja ku fall wala hutaamini, unaweza kuwa na moyo sugu sababu ya kutendwa ajabu Mungu katujalia kusahau machungu wakati maalum ukifika, unaweza stukia umependa mpaka ukasema "ulikuwa wapi siku zote" source babu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom