Nimekuwa senior member

Nimekuwa senior member

Zizu

Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
67
Reaction score
19
Nina furaha sana siku ya leo na sababu kubwa ni kuwa leo ni birthday yangu.Sikujua kwamba unapokuwa umetimiza miaka 25 ndo JF inakutambua kama Senior member.Namwomba Mungu anipe kibali cha kuishi miaka mingi zaidi hata na mimi nipate kutimiza ndoto zangu. Ni mwaka huu ndo natazamia kumaliza IFM na kuona ninaanzia wapi kufanya na mimi impact kibongo bongo if possible hata level zile.
 
Mbona post yako iko kwenye mahusiano-mapenzi-urafiki???
 
Duh kumbe tuko na watoto wetu humu.Hongera hata hivyo dogo
 
jaribu kuwa JF Premium member ndio utang'ara.......
changia JF mkono mtupu haulambwi........
 
Back
Top Bottom