Nimekuwa na mahusiano na binti asiye na maambukizi ya VVU, anataka tukutane kimwili

Mimi ni kijana/mwanaume ninaeishi na VVU kwa muda mrefu sasa hivi nimekua nina mahusiano na binti asie na maambukizi na kwa sasa kwa hakika ninashuhudia mapenzi ya dhati katika historia ya maisha yangu.
Mwambie wote kwa pamoja mwende mkapime, majibu yatakapo toka yeye atajua au ataamua nini cha kufanya!
 
Ukimwi nimeushanga singida .jamaa angu mmoja alikuwa na mausiano na bint ambae alizaliwa na vvu jamaa alishindwa kbsa kujizuia nilimziii Sana mshikaji wangu asifanye bila Kinga ila wapi yey anadai kuwa awezi mchibua ...

Jamaaa alimbandua yule mtot Zaid ya Mara tatu mpk tulisafiri nae kwenda Arusha na kuliwa mm nikajuwa jama angu atakuwa nao ila wapi ..amekuja kupima Mara kadh hmn kitu ..ndio akaniambia ikiwa anatumia dawa vxr hawez kuambukiza.
 
Ukimwi nimeushanga singida .jamaa angu mmoja alikuwa na mausiano na bint ambae alizaliwa na vvu jamaa alishindwa kbsa kujizuia nilimziii Sana mshikaji wangu asifanye bila Kinga ila wapi yey anadai kuwa awezi mchibua ...jamaaa alimbandua yule mtot Zaid ya Mara tatu mpk tulisafiri nae kwenda Arusha na kuliwa mm nikajuwa jama angu atakuwa nao ila wapi ..amekuja kupima Mara kadh hmn kitu ..ndio akaniambia ikiwa anatumia dawa vxr hawez kuambukiza
Aisee huyo jamaa yako ajengewe sanamu hapo chamwino, huko ni kubet maisha ..
 
Shida sie waswazi hatupendi ukweli..... utamwambia ukweli kwa nia njema cha ajabu atakuacha.

Kuna dada mmoja alienda kufanya kazi za ndani mahali flani, day wani tu akakaa na boss wake akamwambia samahani naomba nikueleze jambo "mimi naishi na VVU na huwa natumia dawa, je huku kuna hospital karibu nitakua naenda kuchukua?" Yule binti kesho yake jioni aliambiwa apaki vitu vyake arudi kwao.... stigma ipo.
 
Chonde chonde chonde, usije ukamuambukiza binti wa watu HIV kwa kukusudia, mweleze ukweli. Au utumie condom
 
WAHESHIMIWA NIMESOMA MICHANGO YENU NINAWAELEWA SANA KWA MAANA CHANYA

KUNA WALIOULIZA KAMA NILIWAHI KUA NA FAMILIA JIBU NI HAPANA NA KWA SASA NINA MIAKA 26

KUHUSU VIRAL LOAD BADO SIJAFIKIA LEVEL YA KUA UNDETECTABLE ILA NAFUATA VYEMA DAWA
 
Mimi ni kijana/mwanaume ninaeishi na VVU kwa muda mrefu sasa hivi nimekua nina mahusiano na binti asie na maambukizi na kwa sasa kwa hakika ninashuhudia mapenzi ya dhati katika historia ya maisha yangu.

Changamoto; kwa muda amekuwa akitaka mimi na yeye tukutane kimwili nikawa namtolea nje sasa nahisi imefika hatua ataanza kuhisi mimi sina uwezo wa jogoo kupanda mtungi, shida ni kwamba hajui hali yangu ilivyo na kukutana nae faragha ni kitu ambacho kwangu sioni tatizo kwa sababu tunaweza tumia kinga.

Lakini kinachonipa mawazo ni kwamba yeye anasema hapendi kutumia kondomu kwa sababu zinapunguza ladha na Mimi moyo wangu na akili yangu vinasita sana naogopa sana kumuambukiza na TUNAPENDANA SANA.

NIFANYE NINI KWENYE HIKI KISANGA?
Mweleze ukweli kuwa una ngoma

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kuwa na ubinadamu na hivyo kumueleza ukweli huyo binti kuhusu hali yako kabla hujamvua chupi. Vyovyoye atakavyoamua kama ni kuendelea kuwa nawe kama mpenzi au kuingia mitini basi uheshimu maamuzi yake. Hongera sana kwa kum keeps kwa muda wote mliokuwa naye kama mpenzi wako.
Mimi ni kijana/mwanaume ninayeishi na VVU kwa muda mrefu sasa hivi nimekua nina mahusiano na binti asiye na maambukizi na kwa sasa kwa hakika ninashuhudia mapenzi ya dhati katika historia ya maisha yangu.

Changamoto; kwa muda amekuwa akitaka mimi na yeye tukutane kimwili nikawa namtolea nje sasa nahisi imefika hatua ataanza kuhisi mimi sina uwezo wa jogoo kupanda mtungi, shida ni kwamba hajui hali yangu ilivyo na kukutana nae faragha ni kitu ambacho kwangu sioni tatizo kwa sababu tunaweza tumia kinga.

Lakini kinachonipa mawazo ni kwamba yeye anasema hapendi kutumia kondomu kwa sababu zinapunguza ladha na Mimi moyo wangu na akili yangu vinasita sana naogopa sana kumuambukiza na TUNAPENDANA SANA.

NIFANYE NINI KWENYE HIKI KISANGA?
 
Mimi ni kijana/mwanaume ninayeishi na VVU kwa muda mrefu sasa hivi nimekua nina mahusiano na binti asiye na maambukizi na kwa sasa kwa hakika ninashuhudia mapenzi ya dhati katika historia ya maisha yangu.

Changamoto; kwa muda amekuwa akitaka mimi na yeye tukutane kimwili nikawa namtolea nje sasa nahisi imefika hatua ataanza kuhisi mimi sina uwezo wa jogoo kupanda mtungi, shida ni kwamba hajui hali yangu ilivyo na kukutana nae faragha ni kitu ambacho kwangu sioni tatizo kwa sababu tunaweza tumia kinga.

Lakini kinachonipa mawazo ni kwamba yeye anasema hapendi kutumia kondomu kwa sababu zinapunguza ladha na Mimi moyo wangu na akili yangu vinasita sana naogopa sana kumuambukiza na TUNAPENDANA SANA.

NIFANYE NINI KWENYE HIKI KISANGA?
TUMIA CONDOM
 
WAHESHIMIWA NIMESOMA MICHANGO YENU NINAWAELEWA SANA KWA MAANA CHANYA

KUNA WALIOULIZA KAMA NILIWAHI KUA NA FAMILIA JIBU NI HAPANA NA KWA SASA NINA MIAKA 26

KUHUSU VIRAL LOAD BADO SIJAFIKIA LEVEL YA KUA UNDETECTABLE ILA NAFUATA VYEMA DAWA
Wewe ni jasiri sana. Ulizaliwa nao au ilikuwa ajali za ujana?

Afya zenu ni bora kuliko ngono ya muda mfupi, jitahidi usimuambukize
 
Back
Top Bottom