Nimekuwa mvivu kutongoza. Nifanyeje?

Nimekuwa mvivu kutongoza. Nifanyeje?

Unajua najaribu kuwaza
Ndo unamtongoza Unakuta mdada yuko siriaz mwenyewe anaona kaopoa Danga kumbe we unamcheka kimoyomoyo

Wanaume!
[emoji23][emoji23]Ndo hivyo. Unapretend maisha hata kwa suti za kukodi kwa Mr Nice dukani, mwisho wa siku unajitafunia mbususu, kisha unamtengenezea mazingira ya aujue kweli. Siku anaufahamu ukweli unamcheka saaana, akiamua kukusapoti mcheke wote, sawa. Akiona ajikatae sawa. Yule binti hatokaa asahau ile siku aliyonikuta mimi TAMISEMI namenya viazi vya Chips kwa Ngowi[emoji23]

Kwani alichelewa, muda ule ule kaenda kunyofoa kimimba chake, alidhani atakitumia kile kama silaha ya kunipuna pesa ambazo hazipo[emoji23][emoji23]

Kwa sasa nimechoka maake ninetafuna nyapu nyingi sana
 
Nimewahi kwenda Zambia as Tan Boy. Nikapigilia nguo kama za Rayvanny Natafuta kiki, nikaenda kuwadanganya kuwa mimi ni Rayvanny kuanzia uongeaji hadi pesa za dereva, ile siku mb** ilitoka inawaka moto[emoji23]

Wanawake bhana
 
Maisha yanakwenda kasi sana ndugu zanguni[emoji23][emoji23] Nimechoka kutongoza ndugu zanguni, sio tu kutongoza, bali hata kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi, nimechoka. Nimechoka, Nimechoka.

Hawa viumbe wanapenda sana pesa. Sio kwamba sina pesa, bali nina kazi nazo. Kuhusu uongo, siku hizi siwezi kudanganya. Nikidanganya, uongo wangu unanichekesha mimi mwenyewe.

Mara ya mwisho kudanganya ni ile siku niliyokwenda ukweni kwa mara ya kwanza na suti ya kuazima, kisha nikaumbuliwa kwenye simu na mwenye suti wakati nimeweka loudspeaker

Mimi sio domo zege, ila kwa sasa naona kazi sana kutongoza, naona so kununua. Wacha tu nijilie utamu wa Jamaa[emoji23] kila mtu afe na chake chake Pemba.
una uhakika haujaanza kupata hisia mseto…..ujue urijali ndo unauga watu huwa hawachoki hisia ila wanabadili hisia
 
Maisha yanakwenda kasi sana ndugu zanguni[emoji23][emoji23] Nimechoka kutongoza ndugu zanguni, sio tu kutongoza, bali hata kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi, nimechoka. Nimechoka, Nimechoka.

Hawa viumbe wanapenda sana pesa. Sio kwamba sina pesa, bali nina kazi nazo. Kuhusu uongo, siku hizi siwezi kudanganya. Nikidanganya, uongo wangu unanichekesha mimi mwenyewe.

Mara ya mwisho kudanganya ni ile siku niliyokwenda ukweni kwa mara ya kwanza na suti ya kuazima, kisha nikaumbuliwa kwenye simu na mwenye suti wakati nimeweka loudspeaker

Mimi sio domo zege, ila kwa sasa naona kazi sana kutongoza, naona so kununua. Wacha tu nijilie utamu wa Jamaa[emoji23] kila mtu afe na chake chake Pemba.
Piga nyeto
 
Waambie wakusaidie
 
Dunia ya leo hakuna mambo ya kusimamisha chini ya miembe kutongozana na kusubiria jibu kama ume apply ajira.

Siku hizi ukiomba namba ukapewa hiyo ni hatua ya kwanza ya kumpata muhusika. Kinachofuata baada ya kupewa namba ndio kinaamua mustakabali wa hayo mahusiano yenu.

Siku hiyo hiyo ukipigwa vizinga vya gesi, kodi na ada basi harakisha kugonga usepe. Ila ukianza kuitwa 'my' na kuulizwa kama umekula hapo kidogo mnaweza mkadumu dumu.

Mimi binafsi nawapenda mno wa kutoa shida zao siku ya kwanza tu. Hao kulika ni rahisi mno.
 
Kaka wanaotongozana ni wanafunzi we omba namba toa location, lipa bills,lipa chumba kale mzigo [emoji1][emoji1].
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom