Hapa nimepata kitu haswa kwa kuwa na wewe umepitia hali hii, umenipa kitu kikubwa sanaHii inaitwa kujiendekeza, naona ajabu hata shetani hujamsingizia pia,
Katika dunia hii ukitaka Kila kitu kisikupite basi ndio chanzo kikubwa cha kumuasi mungu,
Kuna kipindi nilitaka kukaribia rekodi zako kwa mbali, Lakini niliwahi kustuka, hatua nilizofanya Kwanza siendi sehemu yyte ambayo itanikutanisha na wanawake hovyo, nilifuta social media zote situmii, fb, insta, badoo, na nyingine nyingi zinazoleta sababu ya kuchat na wanawake hovyo,
Pia nilipoowa nikaamua kuridhika na mke wangu tu,
Kwa sasa nina miaka mingi sana nimeweza kucontrol hali hiyo,
Kingine lazima ujenge tabia ya kuwahi kurudi home, usigawe namba yako hovyo, jitahidi sehem nyingi ukitoka kwenda kwenye starehe beba mkeo muende wote,
Jiwekee ahadi ya kutokulala nje hata kama ukichelewa kurudi home Lakini rudi tu na ulale home, kama utakuwa mji wako,
Ondoa kabisa list ya marafiki wenye akili kama ulizonazo sasa,
Umenipa somo zito mkuu, ubarikiwePole sana kwa kuwa mtumwa. La msingi ni wewe mwenyewe kuamua kwa dhati ya moyo wako kuacha na si kujidanganya mdomoni. 1. Tumia muda mrefu kukaa na watu unaowaheshimu watakusaidia kwani utaona aibu kuzungumza ujinga wako.
2. Pili, piga magoti omba msamaha kwa MUNGU na uwe nadhiri ya kuacha.
3. Ukishindwa kabisa kuwa unaongozana na shemeji yako wa kiume unayemheshimu muda unapokuwa mbali na mkeo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hayo masimango sasa mkuu wanguSioni ubaya wowote.si hela yako ndo inakuzuzua? Filisika ndo utawajua wanawake. Hata hukumbuki kwamba ulitoswa huko nyuma kwa ufukara wako.
Endelea kupiga show sana, zitakoma zenyewe kutokana na umri wako au utakapofilisika
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu wewe si mtu mzuri maana umefurahi kusikia matatizo yangu, ila dah! Kumbe tupo wengiKwa kweli nimefurahi sana kusikia matatizo uliyonayo kwani hata mie nina tatizo hilo hilo.
Ki umri nina miaka 56 nina watoto na wajukuu, tatizo langu pia ni kuwa kila mara nimekuwa nikiwazia wanawake tu, kiukweli nawatamani sana hasa wanawake wenye matako makubwa na walio weupe.
Niko radhi kumfuatilia hadi nimpate, bahati nzuli ni wanawake wachache sana huwa wananikataa.
Ndugu zangu nami naomba mnisaidie mawazo nifanyeje ili niachane na kuwatamani wanawake maana umri umeisha kwenda lakini pepo wa kina mama haunitoki!!!
Hapana yule msichana sikujua kama kaolewa na hakuniambia kabla japo mda mwingi alikuwa anakuwa anajificha ficha tukiwa wote na kuhimiza gari nifunge vioo, nilipojua namuibia askari nilimwacha siku hiyo hiyo.....hata hivyo nilishakula vyombo mara tatu kwakeMkuu jamaa miraba mnne na ffu kutengo cha doria kakulizia???
Haya!Matatizo hayachagui muda mkuu
WordHii inaitwa kujiendekeza, naona ajabu hata shetani hujamsingizia pia,
Katika dunia hii ukitaka Kila kitu kisikupite basi ndio chanzo kikubwa cha kumuasi mungu,
Kuna kipindi nilitaka kukaribia rekodi zako kwa mbali, Lakini niliwahi kustuka, hatua nilizofanya Kwanza siendi sehemu yyte ambayo itanikutanisha na wanawake hovyo, nilifuta social media zote situmii, fb, insta, badoo, na nyingine nyingi zinazoleta sababu ya kuchat na wanawake hovyo,
Pia nilipoowa nikaamua kuridhika na mke wangu tu,
Kwa sasa nina miaka mingi sana nimeweza kucontrol hali hiyo,
Kingine lazima ujenge tabia ya kuwahi kurudi home, usigawe namba yako hovyo, jitahidi sehem nyingi ukitoka kwenda kwenye starehe beba mkeo muende wote,
Jiwekee ahadi ya kutokulala nje hata kama ukichelewa kurudi home Lakini rudi tu na ulale home, kama utakuwa mji wako,
Ondoa kabisa list ya marafiki wenye akili kama ulizonazo sasa,
Ushauri unahitajika
astraghafitululahKwa kweli nimefurahi sana kusikia matatizo uliyonayo kwani hata mie nina tatizo hilo hilo.