Nimekuwa mama

Unajua kila mtu anamachaguo yake? Haimaanishi kama mimi ambae sifanyi wao wanaofanya ni mbaya🤔
Kuna kaujinga kamejificha katika neno machaguo, hako ndo waliko nako wao ambako wewe huna.
Huwez kuwa unakuja kumwaga Documentary ya Progress yako jamvini hatua kwa hatua bila manufaa yoyote.
 
Sasa mkuu yeye kusema amekua mama ndo ushamjua??? Halafu kwani kumjua ye ni bi aisha wa nmb kuna shida gani??
 
Kuna kaujinga kamejificha katika neno machaguo, hako ndo waliko nako wao ambako wewe huna.
Huwez kuwa unakuja kumwaga Documentary ya Progress yako jamvini hatua kwa hatua bila manufaa yoyote.
Manufaa ni kuwa sasa anajisikia vizuri kutufahamisha marafiki zake kuwa kuna mtanzania mwingine kaongezeka, hata mimi nimefurahi kwa ajili yake mkuu, hii ni bora kuliko kupangiana nini cha kufanya kwenye maisha ya mtu binafsi, hiyo haina afya kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…