Hamjambo?
Kiukweli sina hata la kusema ndugu zangu..ila mungu awabariki mama zetu aisee dah am speechless kwakweli
Nashukuru Allah nilijifungua salama usiku wa kuamkia ijumaa na sasa nimekuwa mama!
Ni hayo tu
Hongera Sana. Ni kipindi ambacho inatakiwa jitunze sana. Ukijiachia mwili unaharibiwa na kupotezea mvuto, sura itajinenepea, nyonyo ziraporomoka, tumbo litatangulia mbele n etc