Nimekuwa Kituko Ofisini.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimekuwa Kituko Ofisini....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Katavi, Apr 4, 2012.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Juzi baada ya saa za kazi, nikiwa naondoka ofisini nilikuta akina dada wa hapa ofisini getini wakinunua machungwa. Nikamuomba dada mmoja kwa kumwambia naomba "Tukatiane" chungwa aliloshika mkononi. Ajabu watu waliosikia waliangua kicheko. Sasa imekuwa kero kila mtu anayeniona ktk korido za ofisi hasa wasichana salamu zao huwa "Tukatiane", hata nikiwa mbali mijitu inapaza sauti "TUKATIANE"
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaa sasa si uende au ulikuwa unatania?
  Hahahaaaa
  Kataviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nenda mka......com
   
 3. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  oooh my god.katavi kumbe tunafanya wote.!!!!!!!!
  kumbe huku ndo ndo unajiita katavi.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hahahahaah!! Mimi niliomba tukatiane chungwa, kitu alichotekeleza yule dada.
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Ulifanya makusudi. Mwanaume mbaya wewe!!
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hahahaah!! Kumbe nimemwaga mchele kwenye kuku wengi..
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh labda hakukupa kadri ya matakwa yako.....kesho mwambie tena mka nanii
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa mi nilijikausha tu wewe unamshtua mapema.....?
  Hahahaaaaaa Katavi we Noma aisee.....
  Sikujua ila nilikuwa najua ni mwanaJF ila jina ndo sikujua unatumia nini....Lol
  weraaaaaaaaaaaaa
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dah.....ila bora nimefunguka.....ila kesho watakuwa wameshasahau kukutania
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Wala sikufanya makusudi Hus. Baada ya waliosikia kucheka ndipo nikagundua, ikabidi niigize kuwa nilidhamiria. Hapo ndio nilifanya kosa......sijui nianze kutembeza kipigo!
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Huenda wengine wamesave jina langu "Tukatiane" kwenye phonebook zao.
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Inabidi nifanye kweli aisee....
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh hata mimi nimebadili kweli.....lol liko safi sana
   
 14. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Kweli kiaje?
  Si ulisema alikukatia?
  Hahahaaaa kweli nyingine ikigundulika utaambiwa ulikuwa unaomba kiukweli kupitia chungwa
   
 15. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  mkuu si ni wadada tu ndio wanakutania hivyo?kama na midume ipo piga ngumi za chembe mkuu!
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  tena mkatie na vitunguu swaumu.
   
 17. BOBANY

  BOBANY Member

  #17
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [QUOTE=Hiyo ni kali sana
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  hahahaah!!!
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Midume yenyewe inamtania yule dada aliyenikatia chungwa.
   
 20. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  ok mkuu!kwa hiyo midume yote akiwemo erickb52 wanataka wakatiane na yule dada,na wadada wote akiwemo cheusimangala wanataka wakatiane na wewe?kinachokushinda nini sasa mtoto wa kiume?si uwajibike!kawanunulie tenga zima la machungwa tandale mkatiane mkuu!
   
Loading...