Nimekuwa katili sana!

Vipi huyo jamaa ambae alikua anaenda kusingiziwa mtoto ambae sio wake

Naye pia ni wa kuonewa huruma

Nimezungumzia upande wa pili kwasababu hawakuhusika kabisa na ugomvi wa upande wa huku
 
Hakuna maomivu makali anayo yapitia mwanamke kama azae kwa uchungu na kuangaika kulea alafu akute mtoto sio wake.

Wakae wakijua yale maomivu tunayo yapata sisi wanaume tukijua mtoto sio ndiyo hayo hayo atakayo yapata na yeye

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…