Nimekuwa admitted vyuo vinne niende wapi?

Mkuu si kwa povu ili nimecheka mno kwa kweli imechosha vijana na wazazi
 
Nimetafuta sana,sioni chuo hapo,kuna whatever university.
 
Omba upya bado hujapata chuo
 
Nenda muce ndg, pale kwanza pako shwari hata mazingira yake, and kwa upande wa hiyo course pia ni nzuri sana,
Jiandae kukutana na kina dr.kita
Dr.mbepera
Dr.mulungu

Na wengineo.
Kila la kheri ktk BSc.ed
 
Mkuu hata wenye ONE tumekiona cha Moto ....ushindani mkubwa mno....

can't you imagine division 1 point 8 nimekosa....
 
Mkuu si kwa povu ili nimecheka mno kwa kweli imechosha vijana na wazazi
Mkuu huu kama sio ujinga ni nini haya huyu hapa amepata vyuo zaidi ya kimoja bora hata ingekuwa viwili vinne?

Halafu course zote kama zinafanana hivi

Upande wa pili kuna mti kakosa nafasi na ana sifa sasa maana ya huu mfumo wa kipumbavu ni nn
 
e
Nenda muce ndg, pale kwanza pako shwari hata mazingira yake, and kwa upande wa hiyo course pia ni nzuri sana,
Jiandae kukutana na kina dr.kita
Dr.mbepera
Dr.mulungu

Na wengineo.
Kila la kheri ktk BSc.ed
enx
 
Wakuu na mm nsaidieni..Human Nutrition SUA Vs Urban and regional planning SUA
 
Nenda muce ndg, pale kwanza pako shwari hata mazingira yake, and kwa upande wa hiyo course pia ni nzuri sana,
Jiandae kukutana na kina dr.kita
Dr.mbepera
Dr.mulungu

Na wengineo.
Kila la kheri ktk BSc.ed
hahaha mulungu wa ds mara paaap
 
Kuna ndugu yangu kachaguliwa LLB UDOM na SAUT pia LLB ushauri wenu unahitajika aende wapi?
 
Jaman msaada nimechaguliwa mzumbe laws second round ilihali sikuomba second round, kwakua first round nilichaguliwa chuo kmoja tu Mum, sasa sijui nifanyaje jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…