Nimekuwa admitted vyuo vinne niende wapi?

Kama ni PCB kwanini hakuchukua Doctor of medicine Udom or MUHAS?!
Scores zake zitakuwa hazifikii requirements,
Sio mbaya akianzia BSc.With Edu, achague Kemia au Biology, atafanya Master's of choice in future!
Akifanya hizo nyingine atalazimika kufanya Master's kwenye ualimu, ambapo hadi sasa sina kumbukumbu kama kuna viwango vya mshahara wa Master's kwenye Ualimu.
 
as
asante mkuu
 
Hujui maana ya kuwa ADMITTED??
Wewe umekuwa selected!
Nenda MUCE, kuna upungufu wa walimu wa sayansi!
Ila PCB kwa nini hukuomba angalau mambo ya mericine??
 
Huu ndo upumbavu wa serikali ya awamu hii,

Kuna umuhimu gani kuondoa mfumo ulipita na kuleta huu wa kijinga?

Ona sasa kuna watu wamekosa vyuo na wana sifa stahiki,

Hapa mkuu ka-hold position za watu watatu zaidi


Na kuna watu wengi tu kama yeye wana position zaidi ya moja

Haya mwisho wa siku unatokea mkanganyiko na mambo hayaendo watu wanabaki home vyuo vinakosa nafasi

Huu ni Uzwazwa
 
Namshangaa
Aliyesoma art asome bachelor of education nawe usome hiyo

Aisee ungenishirikisha ningekuambia omba pale DIT
Sio kila PCB anaweza kwenda MD

Umesoma qualifications za saizi?

Unajua kuna PCB wangapi wanataka hiyo MD?

Unajua capacity iliyokuwepo?

Kiufupi course capacity ilishushwa sana hivyo competition ikawa kubwa, yaani kama huna ONE ukaomba MD ingekula kwako kwa sababu science wengi wanalazimishwa kusoma education hasa ya kemia.
Ukiangalia waliokosa admission first round asilimia kubwa ni science ambao hawakuomba education, yaani waliomba afya and the like.
 
poa
plan B ilikuwa education
kabisaa
 
3 ndio nzur maana master utaweza kubadili course ila ukisoma education in science utaishia ualimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…