Nimekutana nayo FACEBOOK!!

Tupa kuleeee akuumize kichwa umezaliwa nae? Yani tujuane ukubwani afu anizingue....waiiii siku 2 tu nishamsahau :D
 
nina uhakika hujawahi kupenda/kupendwa..........

nimependa na kupendwa mara moja na mara nyingine nikajaribu ingia tena mapenzini dadaangu..........ya kwanza ilanza vema sana na nikaona naweza fanya lolote for love...............mbaf.alitaka kuniua yule mwanamke!!!alivyojua ''nimevuta handbrake'' kwake nilichopata baaadae kikawa tofauti na nilivyoonyeshwa mwanzoni bana!mi sipendi maigizo kwakweli,na siwezi elezea mateso niliyoyapata kwa kudhani kwamba lile ni penzi sahihi kwangu.....nilimpenda sana na moyo wangu unampenda mpaka sasa kwakweli(sija-move on?..i dnt know!) ila nadhani halikustahili juhudi na dhabihu zote nilifanya kwalo!
 
Duuh?pole lazma ujifunze to let go of things hata kama uliumizwa kiasi gani aisee...!!!jaribu kusamehe thn utasahau na kila kitu kitaenda sawa otherwise utakua mhanga wa mapenzi az kila utakaempata unaweza hisi atakufanyia kama wa mwanzo....!!!!!!
 
UKIONA MPNZ WAKO ANAKUJIBU HIVI UJUE HATAKI MUWASILIANE NA YEYE HAPO MANAKE CHUKUA TIME UNAPOTEZA MUDA WAKO
SMS:sweet nimekukumbuka sana leo natamani tungekua

sote mida hi upo wap mpnz?
JIBU:nipo
SMS:yani nimekutafuta kweli mpnz ,mbona ulikua hupatikani line zote ,mwenzio cjalala nakufikilia ww my love umenimiss?
JIBU:simu iliisha charge
SMS:bby leo nakula chakula kizuri kitamu kweli cjui ww unakula nn. Natamani tungekua wote kalibu mpnz
JIBU:thank you
SMS:honey yaani ile parfume uliniletea inanukia harufu yake nakukumbuka wew
tena nakumbuka leo umetoka freshi na ile tshirt nilikununulia ukisoma hii sms unapata hisia gn
JIBU:tshirt inanibana

MAPENZ MZIGO MZITO AISEEE WE ACHA TU

Duuu, inawezekana yupo na jamaa mwingine na hataki kuharibu!
 
Cha msingi ukiingia katika mapenzi usifunge mlango wa kutokea (exit door), uache wazi kwani any time unatumika huo!
 
Watu wengine sio texters, wanaongea vizuri zaidi wakati mko uso kwa uso kuliko vimeseji. Don't look too much into text messages.
Ni kama mtu akikutumia message imeandikwa IN CAPITAL LETTERS SI UTAFIKIRI ANAONGEA KWA SAUTI?? Lakini hapana, ni jinsi mtu anavyotext.

UKIONA MPNZ WAKO ANAKUJIBU HIVI UJUE HATAKI MUWASILIANE NA YEYE HAPO MANAKE CHUKUA TIME UNAPOTEZA MUDA WAKO
SMS:sweet nimekukumbuka sana leo natamani tungekua

sote mida hi upo wap mpnz?
JIBU:nipo
SMS:yani nimekutafuta kweli mpnz ,mbona ulikua hupatikani line zote ,mwenzio cjalala nakufikilia ww my love umenimiss?
JIBU:simu iliisha charge
SMS:bby leo nakula chakula kizuri kitamu kweli cjui ww unakula nn. Natamani tungekua wote kalibu mpnz
JIBU:thank you
SMS:honey yaani ile parfume uliniletea inanukia harufu yake nakukumbuka wew
tena nakumbuka leo umetoka freshi na ile tshirt nilikununulia ukisoma hii sms unapata hisia gn
JIBU:tshirt inanibana

MAPENZ MZIGO MZITO AISEEE WE ACHA TU
 
nimependa na kupendwa mara moja na mara nyingine nikajaribu ingia tena mapenzini dadaangu..........ya kwanza ilanza vema sana na nikaona naweza fanya lolote for love...............mbaf.alitaka kuniua yule mwanamke!!!alivyojua ''nimevuta handbrake'' kwake nilichopata baaadae kikawa tofauti na nilivyoonyeshwa mwanzoni bana!mi sipendi maigizo kwakweli,na siwezi elezea mateso niliyoyapata kwa kudhani kwamba lile ni penzi sahihi kwangu.....nilimpenda sana na moyo wangu unampenda mpaka sasa kwakweli(sija-move on?..i dnt know!) ila nadhani halikustahili juhudi na dhabihu zote nilifanya kwalo!
tatizo lako ulivuta hand break usikopendwa, hilo ndo tatizo kubwa linalosababisha maumivu makali. ungekuwa ulivuta hiyo hand break ambapo umependwa pia wala yasingetokea haya. Next time jitahidi kusoma mchezo kabla hujaingia mwili na moyo, lol!
 
Kwiiii kwiiiiiiiiii .. Ningecheka balaaa afuuu bada hapo najipa rahaa mwenyewe.. Au natafuta wakunipa lol.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ila kwa kweli kuna wapenzi wengine ni pasua kichwa!! Unatumia muda mwingi kumuwazia kumbe anakukumbuka pale anapokuona tu!!! Ila KakaKiiza katoa ya kweli!!! Ila kawaida wanaume wengi majibu mkato sana!!! Tujifunze kutiririka, wanwake wengi wanapenda maneno mazuri na hapo unaamsha hisia zake zote!! Dah tunahitaji darasa la mapenzi!! Lara 1 upo? tunahitaji siku moja ulete uzi wa kufunda wanaume hapa! Wadada wanaumia sana, usipime.

Zogwale kula tano mwanangu yani we mkaliiii.. Mtubembeleze banaaa.. Hebu ona kama huyo mwenzenu mwenzie anaji express toka deep down thee heart .. Jinaume sura ngumu majibu mkato mkato tupa kuleeeee...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Zogwale kula tano mwanangu yani we mkaliiii.. Mtubembeleze banaaa.. Hebu ona kama huyo mwenzenu mwenzie anaji express toka deep down thee heart .. Jinaume sura ngumu majibu mkato mkato tupa kuleeeee...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hajataja jinsia hapo! Its general
 
Zogwale kula tano mwanangu yani we mkaliiii.. Mtubembeleze banaaa.. Hebu ona kama huyo mwenzenu mwenzie anaji express toka deep down thee heart .. Jinaume sura ngumu majibu mkato mkato tupa kuleeeee...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mna manyanyaso nyie!....................dawa ni kuwapiga sanaa tu.....mbv!
 
tatizo lako ulivuta hand break usikopendwa, hilo ndo tatizo kubwa linalosababisha maumivu makali. ungekuwa ulivuta hiyo hand break ambapo umependwa pia wala yasingetokea haya. Next time jitahidi kusoma mchezo kabla hujaingia mwili na moyo, lol!

unanicheka!?sawa tu dadangu!.kwa miaka miwili nilipewa pepo na nilikata shauri kwamba ni yeye kwa kufanya kila nilitaka kwa mwanamke..............sikujua nilikuwa mbuzi wa shughuli aisee!sitaki kuusoma mchezo and i dont wanna fall............AGAIN!
 
Ukiona hivyo basi unajaribu jaribio la mwisho.....

SMS: Honey nimepita showroom nikakuta yale magari siku zote unatamani kuwa nayo ndo nilikuwa nataka twende ukacheck na wewe kama vp nikuchukulie..
JIBU:( sikia atakavyojichatua........... hahahahahah ndo dawa yao hao)
 
unanicheka!?sawa tu dadangu!.kwa miaka miwili nilipewa pepo na nilikata shauri kwamba ni yeye kwa kufanya kila nilitaka kwa mwanamke..............sikujua nilikuwa mbuzi wa shughuli aisee!sitaki kuusoma mchezo and i dont wanna fall............AGAIN!
haya wewe endelea kusimama mdogo wangu.....sisi twaendelea ku-fall kwa raha zetu, lol!
 
hongereni sana bana.sasa mtu baada ya kila kitu alichonifanyia anakuja na kauli za kwenye tamthilia ''oooh u know babes,u and me know very well kwamba we are meant for each other,tatizo lako mkali.naomba nisamehe,nimeshindwa move on blah blah blah ''.....nikimpa tu tena nafasi anaweza niua hakyanani......nyie angukeni wee,mi ni shabiki wa friends with benefits,no strings attached kind of things....sina moyo wa mchezo wa mimi!
 
Hakuna kitu kinaniumaga roho km nimejituma tenakutoka moyoni na nikimaanisha nakutumia ujumbe,nimemaliza maneno yote ya kwenye uvungu wa moyo wangu, alafu jibu linakuja AHSANTE, au BAADAE, au NIKO BUSY NITAKUJIBU au POWA au OK. Na hiyo baadae haitakuwabaadae, ntakujibu ndo hujibiwi.

Mawasiliano ni kitu muhimu sana katika mapenzi jamani, yanaweza imarisha au yanaweza kudhoofisha mapenzi kabisa. KakaKiiza ahsante kwa kutukumbusha kaka yangu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom