Nimekutana nayo FACEBOOK!!

unanicheka!?sawa tu dadangu!.kwa miaka miwili nilipewa pepo na nilikata shauri kwamba ni yeye kwa kufanya kila nilitaka kwa mwanamke..............sikujua nilikuwa mbuzi wa shughuli aisee!sitaki kuusoma mchezo and i dont wanna fall............AGAIN!

Rubuye acha kuidhulum nafsi, inategemea huwez judge thru sms, somepipo like to chat azaz like to col, azas like livetok.la msingi ni kumuelewa mpenzio anataka nin na kuoenda style ipi kwenye mawasiliano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom