Nimekutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni

Ukienda Wilaya ya Mpimbwe mkoa wa Katavi kuna sehemu inaitwa majimoto huko wasukuma wa kiume wanavaa sketi kabisa
Nilikutana nao kata ya Kilida kule kijiji cha Masanso! Wanavaa sketi na mabangili mengiii mpaka nikapiga nao picha! Kanga au vitenge wanazigeuza kuwa sketi! Washamba sana wale watu! Kule hakuna misikiti wala makanisa ni waganga wamejaa kwa kwenda mbele! Wamepigana chale kuanzia binadamu mpaka mifugo yao! Wale ng’ombe wao n mbuzi wamepigwa chale mpaka wamekuwa mazezeta!! Wana tamaduni za ajabu sana wale watu! Hawaziki kama sisi,wao wanazika kwenye zizi la ng’ombe kati kati pale! Na kaburi haliwekwi tuta,wanaweka jiwe kiaina kama ukumbusho! Akifa kiongozi au mtu mwenye ng’ombe wengi(tajiri ng’ombe) wanatafuta ng’ombe wake mmoja wanamuua kikatili sana tena kwa mateso makubwa mnoo! Na hiyo nyama hawagusi,wanawapa wageni wale wao wanachinja mwingine...aysee nimeyashuhudia mengi sana kwa hawa watu! Ni washamba mnoo af wajuaji wakati kiukweli hawajui kitu! Dah mpaka nachoka kuandika! Mwanamke ndo mzalishaji mkuu! Wanawake wanapigishwa kazi balaa,kulima n.k!! Kule mwanamke kazi yake ni kulima na kuzaa maa$&@nina,anazalishwa mpaka anachakaa! Aysee ni mengi mnooo!
 
Nilishuhudia hii nikiwa Tabora kijiji fulani hv. Wanakuvalia vitisheti vya kubana, hereni masikioni , mabangili mengi mikononi na kanga juu, chini gambuti hata muda wote mpaka unajiuliza huyu mtu na hili jua haungui miguu!!
 
Back
Top Bottom