Hahaha madame bwana " kuna wengine sio kwamba wanashida " hapana ila wana arosto ya kuomba omba " ..... anakuomba leo pesa unampa za kutosha tu ...baada ya siku mbili anakuomba tena " sijui huwa wanahisi kuwa tunazichapisha !!?Bado tupo wengi sanaaaa, kuomba pesa haimaanishi hatuwapendi jamani. Ni shida tu ndio hazina adabu, mtuvumilie tu na mzidi kutupatia pesa. Tunawapenda sana na mbarikiwe kila mtoapo. Amen.
Kuna mmoja nlienda kutoa photocopy nikampaHahaha madame bwana " kuna wengine sio kwamba wanashida " hapana ila wana arosto ya kuomba omba " ..... anakuomba leo pesa unampa za kutosha tu ...banda ya siku mbili anakuomba tena " sijui huwa wanahisi kuwa tunazichapisha !!?
Sawa chief "... nilichokifanya hapa nikumpatia Wife to be " credit zake kutokana na jinsi anavyo nistaajabisha na tabia zake za kupendeza " ... na ni busara kumsifu mtu pale anapofanya vizuri " ... Akifanya vibaya ruksa kumkosoa pia " ili ajirekebishe" ... Amekuwa akiniambia haya maneno mara nyingi pia " hakika ana staajabishaMkuu hawa viumbe usiwaamini ...
Mpaka leo sir god bado anasolve equation za kuweza kuwaelewa vizur hawa viumbe
Hahaha ....woiiiiiiiiWanafikiri tunapoomba ni kazi ndogo, tumejitoa kweli. Wasioomba wanaugulia tu kimya kimya ila wanataka na ukiwapa hawakatai. Hivyo wawe wanajiongeza tu.
Hahaha "... shikamoo mkuuEt kuitawala mbingu na ardhi ....
Ahahaha mtani umenichekesha sana ...
So unanitawala hadi mimi ..
Ahaha mkuu bwana ...
Ila sio mbaya ...
Nipe namba yake
Ewaaaa " agiza makange naja kulipa "... sasa eti wakuta mwanamke anaomba hata hela ya kusuka " jamani jamani " hata hela ya kusuka mtu inampiga penalty " !!! Aisee hilo ni jipuhearly tatizo lenu msipoombwa hela mnaenda kutoa kwingine, mna ile self esteem pride.
Kuombwa pesa si tatizo, inategemea na pesa ya nini mimi siwezi omba pesa ya saloon, sijui nguo ila nkiomba pesa ni kwa ajili ya mambo ya maendeleo.
Hahaha mkuu kuna ule uzi wako " unazungumzia umuhimu wa wanawake kuwa wasaidizi kwa wanaume " uliongeaga point zilishiba sana mule " kuanzia siku ile nikakuvisha manyota kibao " nashangaa leo waniangusha " sijui umekula maharage ya wapi wewe !!?Ila mleta uzi bwana!! Ungeandika tu umempata asieomba pesa maana ndio kipimo mnachotumia kupima upendo. Haya.
HahaaaNipo available ...
Ninyemelee mkuu
Hahaabora leo mmeamua kusema ukweli... huwa nawashangaa sana aisee
Ooh bas sawa nafurahi kusikia hivyoHahaha " dini yangu Inaniruhusu kuoa wanawake wanne " so usijali nafasi yako bado ipo pale pale
Hahaha hakuna anayependa kuombwa ombwa pesa hovyo aisee ".... kuna siku Mama Sabrina aliombwa 10k tu huko na member wa Jf " daahh aliliporomosha gazeti humu limejaa kichambo cha kufungia mwaka wacha wamchambe jamaa wawatu " hahaaa " Imagine 10k tu imezua taharuki na kuifanya mpaka jf ikasimama " ...what if ingekuwa 100k !!?Sijui nani aliwadanganya kuwa tukiwaomba pesa basi hatuwapendi!!!!
Utanifaa kuwa mke wa pilimie siwez na sipend kuomba ila ukinipa nashukuru mno mno! ila nikikuona ww mbinafsi nitakushangaza!sipend men mbinafsi kwasabb mm ubinafs siuez..
Hahaa itamuwa Chit chat hukoUmempotezea wapi mkuu?
HahaaHahahaaaaa!!! Sisi tunawapa kwa moyo ila wao wachoyooo na pesa zao. Alafu wanafikiri sifa!!!
Hahaha aiseeItabidi abadili id, mie sijawahi kulishika jina lake na sina mpango. Angekuwa mtoa pesa ningeshalishika lakini.
Ni kweli mwaya we chukua kile unachokiona, kama kuna mengine nyuma ya pazia itajulikana tu. Siku zote mimi huwa napenda kuwaza positive...nachukua kile anachonioneshaSawa chief "... nilichokifanya hapa nikumpatia Wife to be " credit zake kutokana na jinsi anavyo nistaajabisha na tabia zake za kupendeza " ... na ni busara kumsifu mtu pale anapofanya vizuri " ... Akifanya vibaya ruksa kumkosoa pia " ili ajirekebishe" ... Amekuwa akiniambia haya maneno mara nyingi pia " hakika ana staajabisha
Huwezi kuelewa " kamalize masomo yako kwanza ya MEMKWAUme andika nii kwn