hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,534
- 73,812
Safi sana kumbe na wewe " unaye malaika wako "... Ubarikiwe " Asante kwa pongezi pia "Uko vizuri Mkuu, ila wanawake wa aina hii huwa wanaudhaif flan wa ndani, sometimes inaweza pelekea kua out of mood, kitu muhim ni kujitahid kua mvumilivu juu yake na kulazimika kufanana nae ktk baadhi ya mambo ila mwende sawa.
Hii ni kwauzoefu wangu lakini..!!
Nitayazingatia haya maneno kwa yakini "
mxiew

