Nimekutana na malaika

Nimekutana na malaika

Status
Not open for further replies.
Na bahati mbaya ni kwamba unapompata mwema ikiwa wewe haujaamua bado kuwa mwema hauwezi kumgundua kabisaaaa. Ndio matokeo yake unasema kauli za "wote ndio wale wale".

Ila wanaume wema na wanawake wema bado wapo sana tu.
Indeed " Mpo ijapo kuwa mpo wachache "
 
wacha tuone movie ya ray na johar ikiwa inaendelea huku tunapata juice kidogo ila mrejesho lazima mkuu kama ulivyo andika huo walaka kutoka katika moyo ILA KITU KIMOJA MWANAMKE HARIDHIKI KWA CHOCHOTE alipewa kucha na mungu yeye anaweka bandia,nywele yeye anaweka bandia, kope yeye anaweka bandia,makalio yeye anona hayafai anaweka bandia NA NDIO MAANA TUKAAMBIWA TUISH NAO KWA AKILI, na NDIO MANA WAKAITWA HAWA ni weng NA SISI tukaitwa ADAMU kulikuwa na maana USIMWAMIN MWANAMKE YEYOTE DUNIA HII
 
Mbona wewe umeumbwa uchi lakini una vaa nguo mkuu ..!!?
 
Na bahati mbaya ni kwamba unapompata mwema ikiwa wewe haujaamua bado kuwa mwema hauwezi kumgundua kabisaaaa. Ndio matokeo yake unasema kauli za "wote ndio wale wale".

Ila wanaume wema na wanawake wema bado wapo sana tu.
Haya nakuelewa mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom