Nimekutana na malaika

Status
Not open for further replies.
Bora nyie wakomavu muwaambie.
 
Akuuuuu!! Kwenye hilo kundi mimi simoooo. Mie MALAIKA.
yaan sijui nisemeje..hakuna kiumbe hatari dunian kama wanawake....endangered spicies...!mie nash8ndwa iweka clear hii coz nashindwa nielezeje...wanawake mtuonage hv hv


sipend kwenda deep najipombekea mie sitak stress
 
Hahahaaaa!! Kumbe tukiwasaidia ndio mnajisahau hivyo!! Nilisema tuwasaidie maana sisi ni wasaidizi ila sio pesa mkuu[emoji85][emoji85][emoji85]
Kweli " sio siri hahaa
 

Kamanda Hongera sana, Big up
 
Hahahaaaa!! Kumbe tukiwasaidia ndio mnajisahau hivyo!! Nilisema tuwasaidie maana sisi ni wasaidizi ila sio pesa mkuu[emoji85][emoji85][emoji85]
Usaidizi " hauna mipaka " kama unapenda kupewa pesa sio mbaya " lakini yakupasa ujiongeze angalau hata uchangie kuleta mawazo chanya yatakayo saidia ongezeko la pesa " ...sio kuomba tu then ukishapewa " huna mchango mwingine wowote hata waki mawazo tija yatakayo weza kuwasaidia kuinuka zaidi ..... huyu Mtu wa namna hii simujitaji
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…