Ndiyo hivyo, hujawahi ona familia nyingine mgeni akifika watoto mpaka waombe hela hapo wakikuwa ni hivyo hivyo umatonyaHili. Nalo ni tatizo kubwa Sana " haswaa unapokutana na mwanamke ambaye ameamua kuyaendesha maisha yake kwa kupitia kiungo chake nyeti cha mwili ".... uzi kama huu lazima ataipinga vikali sana
lakini nikukumbushe tu kitu ki1[emoji4]... unaweza dhani hakuombi hela ukasema huyu ndiye.. kumbe masikn ya Mungu kakuona apeche alolo anakosa ht ngv ya kukuomba..lazima apige kimya[emoji4][emoji4]! so be warned!na ww sasa jitahd uwe na pesa yako uwe km mwanamume kweli....
Haaaa siku ya kula ubwabwa usinisahau dada yako nije kupiga kigeregere[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aahh wewe tena si wajua navyo ku admire
Hahaha "... hakika Mkuu "Huyo itabidi tumpeleke kwenye Jumba lamakumbusho
Hivi kumbe na wewe unatoa pesa, yaani kabisa unazitoa?[emoji23][emoji23][emoji23] kidding!!Hahahaaaaa!!! Sisi tunawapa kwa moyo ila wao wachoyooo na pesa zao. Alafu wanafikiri sifa!!!
Wewe ndiye msimamizi wa kamati yenyewe "Haaaa siku ya kula ubwabwa usinisahau dada yako nije kupiga kigeregere[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaa "Pengine ana lijamaa linalomhudumia pembeni lina mke na watoto
Haaaaa haaaa Bwana Yesu asifiwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakika madame " umetokea kanisani nini !!? Mbona leo waongea point tu hahaa
Ndiyo hivyo, hujawahi ona familia nyingine mgeni akifika watoto mpaka waombe hela hapo wakikuwa ni hivyo hivyo umatonya
Sikutaka kuandika mengi as najua vile unajisikia, it feels good hasa kukutana na mtu sahihi kwa wakati sahihi.Naam chief " asante sana kwa haya maneno mazuri " japo kuwa ni mafupi lakini yana maana kubwa kwangu
Kwa hiyo unasemaje mkuu !!? Tuwaondoe makazini "pia !!?Kazi ya mwanamke asilia hii hapa .. mengine tunawaonea tu.
View attachment 956001
Hii hali huwa inaanza hivyo; hapa wako kwenye uchumba (miezi 3); wakiingia kwenye ndoa kamili hali hii itaendelea tu ya kujua kuwa mwanamke haombi chochote. Endelea kutetea mabaya;Hahaha kwani kuna sehemu ambayo content inasema kuwa " mwanamke ameachiwa yeye kila kitu " Aisee " humu kuna watu ni wagumu wa kuelewa sijapata kuona
Haaa haaa yaani nitakuwa na kihelehele mpaka basiWewe ndiye msimamizi wa kamati yenyewe "
Aameen Amen mtumishiHaaaaa haaaa Bwana Yesu asifiwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tusiawaondoe ila tusione kwamba ni wajibu wao. Msaidizi sio wajibu.Kwa hiyo unasemaje mkuu !!? Tuwaondoe makazini "pia !!?
Suala sio yeye kuomba kitu tu " mkuu " bali nikuwa mwanamke mwenye tabia njema ambazo wengine walio wengi hawanazo".... mimi nikiwa kama gentleman sipaswi kusubiri kuombwa " napaswa kutimiza wajibu wangu " wakumuhudumia mwanamke ipaswavyo kwa sababu " kumuhudumia mwanamke " ni wajibu kwa mwanaume "Hii hali huwa inaanza hivyo; hapa wako kwenye uchumba (miezi 3); wakiingia kwenye ndoa kamili hali hii itaendelea tu ya kujua kuwa mwanamke haombi chochote. Endelea kutetea mabaya;