wiki hii bwana nimekutana na kongosho alikuja ofisini kwangu kwa shughuli zake binafsi ila hakunitambua kuwa mimi ndio C.T.U ila mimi nimemtambua kwa uwezo wangu binafsi katika masuala ya inteljensia na saikolojia ya binaadamu na nilijifanya kuwa simjui na wala sikumsemesha kitu chochote
ila nampa hongeza zake maana mmmh
ulimjuaje?[/
kwa saikolojia yake jinsi anavyoongea uumbaji wake wa maneno ni exactly anaongea kama ana type jf
kama anabisha aseme hapa lol
Ukiniona na mimi utanianzishia thread?
ha ha ha ha, wewe dogo huna maana
kuwa na adabu ntakubamiza sasa hivi.
Huoni kama na mie nshakujua!
Kongosho watu wanahamu ya kukuona...
ulimjuaje?[/
kwa saikolojia yake jinsi anavyoongea uumbaji wake wa maneno ni exactly anaongea kama ana type jf
kama anabisha aseme hapa lol
nina mashaka na huo 'utambuzi' wako......