Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,758
Atakuwa ni yule demu mliepishana nae kauli pale club!
Hahahaah hayaHim only! ila usiniulize kwanini
Basi ni jini kweli.Sikunywa zaidi ya redbull na maji yaani pure h2o
Hahahaah kama unayazimikia haya masikio hakuna namna zaidi ya kufanya uumbaji upate kababy kenye masikio kama haya...!!!Tuachane na huyo bwana ana stress za maisha tuu..... ila wajua Katavi mie nakuzimikia ile mbayaa hasa hayo masikio yako yananikonga moyo sijuwi nifanyaje
Hahahaah kama unayazimikia haya masikio hakuna namna zaidi ya kufanya uumbaji upate kababy kenye masikio kama haya...!!!
ha ha ha ha....!!Una bahati weye MWe kuliona jini LA kizungu!!!!
Asingepata nafasi ya kuuleta huu Uzi humu ndani....ahahahaha ha ha ha....!!
angeliona la kiafrika je...?
tena angeliona la kiafrika la boko haram sijui ingekuwaje...🙁🙁Asingepata nafasi ya kuuleta huu Uzi humu ndani....ahahaha
Chaliiii.......tena angeliona la kiafrika la boko haram sijui ingekuwaje...🙁🙁
Ungemwagia chumvi mkuu
Tatizo ulirudi peke yako[emoji124] [emoji124]Nimeamka salama salimini namshukuru Mungu.
Duh!!! Ukashindwa kulichangia Taifa kodi [emoji16] [emoji16] [emoji16]Redbull moja na maji kubwa moja.
Mimi nina masikio kama hayo kabisa. Tufanye mchakatoHahahaah kama unayazimikia haya masikio hakuna namna zaidi ya kufanya uumbaji upate kababy kenye masikio kama haya...!!!