Nimekutana na huu ujumbe

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe auntie hunipendi eenh shida yako nipewe life ban ili ufanye sherehe mtume Bonny au Sakayo
Kwani antie invisible anameza watu?
 
hakuna kitu nachukia kama kuwa a shoulder to cry....
 
Hakika mkuu,kuna dada humu ndani mwezi wa pili huu sasa naonesha hisia zangu kwake.Ila cha ajabu hajawahi hata uthamini upendo wangu kwake.Sijui nitumie njia gani?Isitoshe yeye ni mtu alienifanya ni SIGN UP hapa jamii forums.Anyway...
Usikate tamaa mkuu, endelea tu kumfuatilia ipo siku atakunjua moyo wake kwako.
 
Hakika mkuu,kuna dada humu ndani mwezi wa pili huu sasa naonesha hisia zangu kwake.Ila cha ajabu hajawahi hata uthamini upendo wangu kwake.Sijui nitumie njia gani?Isitoshe yeye ni mtu alienifanya ni SIGN UP hapa jamii forums.Anyway...
Mfwate pm mkuu
 
KUNA WANAWAKE WANAKERA, UKIWAPENDA WANARINGAA, WANAJISAHAU KUWA WAKO WENGI KULIKO SISI, AKIJA KUSTUKIA MIAKA 40 HYO, HAKUNA NDOA. TULIENI DADA ZETU, UKIPENDWA PENDEKA.. USHIKWAPO SHIKAMANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…