Nimekutana na huu ujumbe

Hakika mkuu,kuna dada humu ndani mwezi wa pili huu sasa naonesha hisia zangu kwake.Ila cha ajabu hajawahi hata uthamini upendo wangu kwake.Sijui nitumie njia gani?Isitoshe yeye ni mtu alienifanya ni SIGN UP hapa jamii forums.Anyway...
Usijisumbue wengine siyo
wao anaogopa ukimuona unaweza kimbia..!
 
Hilo ndo jambo la msingi,usipoteze muda wako kwa mtu asiyekufikiria hata kwa.sekunde
 
Hakika mkuu,kuna dada humu ndani mwezi wa pili huu sasa naonesha hisia zangu kwake.Ila cha ajabu hajawahi hata uthamini upendo wangu kwake.Sijui nitumie njia gani?Isitoshe yeye ni mtu alienifanya ni SIGN UP hapa jamii forums.Anyway...
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…