Nimekutana Live na GWAJIMA..kwenye daladala...!

ni kweli, ni mtu mpole aliye jishusha sana, yeye hata pikipiki anaendesha na kupanda. haringii alivyonavyo. simfagilii but hivyo ndivyo alivyo. mie nilikutana nae kunduchi akiwa na familia nakumbuka was mwaka huu mwanzoni, tukaongea kama freely kabisa, akaongea na mie mambo ya dini na kuokoka nikajifanya mjuaji sana, baadae alipo ondoka nikashangaa kundi la watu likmfuata. nilipo peleleza kumbe ni gwajima. siku moja nikafika kawe nimsikilize mwenyewe. nilipo msikia sikutoka kawe, ndio nimebaki hapa na kila niliye mleta akasikia mahubiri haya hakuwahi kutoka. nakushauri na wewe bora usije kawe, ukija ukamsikia akihubiri huyu mtu, na miujiza inayo tendeka hapa huwezi kutoka hata uwe nani..!

Watumishi wa Mungu wanatakiwa wajishushe sana, kwani hata Bwana Yesu alijishusha sana, sasa sioni kwanini inaonekana kama ajabu kwa Gwajima kujishusha. Ukiona mtumishi wa Mungu anajikweza basi kuna walakini na anayemtumikia.
 
Aliye na afya hahitaji tabibu bali aliyemgonjwa. Waache wenye shida na Mungu wamtafute, wewe endelea kutesa.

Utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake na mengine yote mtazidishiwa...

Sasa ndugu yetu hapa naona anamtafuta mwanadamu na si Yesu
 
sure may be i am msukule, so i need kufufuliwa niwe free. i need freedom, i need to be freeeee.. i need ma problems to end..! thats all.. nizodoeni but mni-pm anapatikanaje na wapi please!!

Nani aliyekuzodoa bi mkubwa...
 
mtiririko mzuri wa stori hongera kwa utunzi...
 
JK akinunua samaki huko Handeni. Hivi Rais huwa anajinunulia samaki? Hummer ilikuwa mbovu? tax hakuna ok basi huenda roho alimtuma kwako
 
Natafuta kazi ,jamani nimesomea logistics and transport,level ya diploma,
 
Naona kuna kampeni za kumtafuti umaarufu huyu kiumbe Gwajima. Mnachotaka tusahau tuhuma zake na wake za watu au kuna ajenda gani ya siri? Kila kukicha Gwajima mfyuuuuu.... Sasa utuambie hadithi hii inatufundisha nini?
 
Labda inaweza kuwa sio habari ila kwangu Sadlady it was a great day, noted.. Nikiwa kwenye DCM natokea zangu Temeke kwenda makumbusho, sikumbuki kituo gani alipandia ila nakumbuka alikuwepo abiria pembeni yangu, aliposhuka ndipo akakaa kijana mmoja. sikuwa na time na mtu yeyote kwa sababu mambo yangu bado yana mixmix, siko poa kabisa wala sifeel kuongea na kiumbe yeyote. akanisalimia nikamjibu shot poa, mkononi nilishika gazeti ambalo sikujisikia poa kulisoma na lilikuwa na taarifa zake kwa juu. akaniomba asome gazeti , ilinikera hali ile nikamtazama usoni kwa ghadhabu na kumtupia gazeti, sikujua ni nani na sikutaka mtu anisumbue that time.

akaniuliza unamjua huyu wanaye mwandika mwandika, nikamjibu simjui na nikaongea maneno mabaya kuhusu mambo ya dini naomba nisiyaandike. ila huyo kijana alionekana mpole, ana suti yenye kibezi nzito sana, akiongea niliona kama moyo wangu unalipuka flan, sikupendelea aendelee kuongea, nikamtazama kavaa shati na sendoz wa kawaida, nikajua huyu anataka kunipigia kelele tu. basi kwa sauti yake akaniambia kusomasoma habari hizi kunaharibu ubongo wa mtu ni aheri ungekuwa na biblia ukajisomea. alipoongelea mambo ya dfini hapo alinikera zaidi eti mie niokoke.

mambo yalibadilika alipo ingia bibi mmoja, akainuka akimwomba yule bibi akae kwenye siti yake kwa sababu ya umri. bahati mbaya yule bibi akamtambua. akapiga makelele Ooooo! Baba Gwajima..! OOO baba yangu, akapiga magoti yule bibi basi basi zima likatifuka, kila mtu akitaka kumwona huyo Gwajima, Konda akafanya kazi kubwa kuwatuliza watu waliokuwa na shauku ya kumwona Live mtu huyo, DCM likasimama pembeni ya Barabara, akashuka kumbe alikuwa na Kundi la vipande vya wanaume wamevalia suti nyeusi na miwani na vyombo flan masikioni kana sita au nani ivi. mie sikujua kumbe walikuwa wamemzunguka. kuna magari mawili yalikuwa yakifuata kwa nyuma wakaingia ndani ya magari hayo na kutokomea. he nilishangaa sana. he Kumbe huyu ndiye Gwajima, maskini mdogo, mpole, huwezi hata jua. amevaa kawida kabisa. mbele ya wale mababa waliomzunguka alionekana mdogo sana. he kumbe anapandaga daladala zetu, aisee!

basi yule mbibi ndio akawa kama amefungiwa mota, akaanza kutuhubiria humo ndani, mie hata sikumsikia,he kumbe nilikuwa nimekaa na Gwajima!! ajabu sana, watu wakawa wananiuliza alikwambiaje..?.. sadlady mie, leo nimekutana na huyu mtu, aisee, ningembana nikachukua mawasiliano faster, aisee!! ningejua!!bahati haiji mara moja, kama kuna mtu anajua anapopatikana au kanisani kwake mie nataka ani-pm ili niende siku ya ibaada labda nitamwona, labda atanikumbuka, labda ndio itakuwa mwisho wa matatizo yangu jamani..

Gwajima mjinga fulani mkusanya sadaka hana kazi ila mpiga kelele pale kawe
 
hivi si ndo huyu huyu anaemgegeda nani.......nnch.... naniliu?............
 
daaaa......ebwana hata mm natamani sanani nimuone aniombee yule jamaa ni mtumishi mazee hata kama tutamdisi mi nimeona jamaa yupo fresh huwa haogopi kukemea hata kama serikali imekosea jambo ambalo huwezi kuwasikia viongozi wengine wa dini...aaaaaakgaaaa#$$%&...hata kama tuna mdis mchizi yupo fresh yule
 
nikisoma jf nahisi km wote tukokwenye misiba

nakuimba

nyimboparapanda italia paraapanda
 
dada sikujui lakini shida zako zinatokana na mdomo wako..inaonyeha wee ni mpepetaji mdomo sana.
 
Back
Top Bottom