Nimekutana Live na GWAJIMA..kwenye daladala...!

Kwanini ujiite jina baya kiasi hiki? Tunaamini kuwa yale unayokiri Ndio yatakua na kwakuwa unajiita hivyo basi utabaki hivyo! Change your mind na amini you can do it through God and God alone, sio Mwanadamu yeyote
 
Mtumishi wa Mungu na ulinzi wa mawani meusi wapi na wapi?Alikuwa kamanda wa anga mkuu na redbrigade akimkwepa Nchemba
 
sadlady ni mwanamke bana,si ajabu alitaka kumsalandia.
 
Ndo mkomage kudharau watu kutokana na mwonekano wao.ingekuwa lidingi limepiga suti na nn na nn ungejipendekeza lakini ulivyoona sandle ukajua aaaah huyu michosho.
Ss unasema anayejua anapopatikana akupeleke labda atakukumbuka na ikawa bahati yako,umebugi unahisi anakutana na wangapi unahisi anajuana na wangapo leo akukumbuke wewe.
Uachage madharau ww mdada waambie na wenzako
 
Hatari sana kama unafikiria kumaliza matatizo yako kimiujiza
 
Labda inaweza kuwa sio habari ila kwangu Sadlady it was a great day, noted.. Nikiwa kwenye DCM natokea zangu Temeke kwenda makumbusho, sikumbuki kituo gani alipandia ila nakumbuka alikuwepo abiria pembeni yangu, aliposhuka ndipo akakaa kijana mmoja. sikuwa na time na mtu yeyote kwa sababu mambo yangu bado yana mixmix, siko poa kabisa wala sifeel kuongea na kiumbe yeyote. akanisalimia nikamjibu shot poa, mkononi nilishika gazeti ambalo sikujisikia poa kulisoma na lilikuwa na taarifa zake kwa juu. akaniomba asome gazeti , ilinikera hali ile nikamtazama usoni kwa ghadhabu na kumtupia gazeti, sikujua ni nani na sikutaka mtu anisumbue that time.

akaniuliza unamjua huyu wanaye mwandika mwandika, nikamjibu simjui na nikaongea maneno mabaya kuhusu mambo ya dini naomba nisiyaandike. ila huyo kijana alionekana mpole, ana suti yenye kibezi nzito sana, akiongea niliona kama moyo wangu unalipuka flan, sikupendelea aendelee kuongea, nikamtazama kavaa shati na sendoz wa kawaida, nikajua huyu anataka kunipigia kelele tu. basi kwa sauti yake akaniambia kusomasoma habari hizi kunaharibu ubongo wa mtu ni aheri ungekuwa na biblia ukajisomea. alipoongelea mambo ya dfini hapo alinikera zaidi eti mie niokoke.

mambo yalibadilika alipo ingia bibi mmoja, akainuka akimwomba yule bibi akae kwenye siti yake kwa sababu ya umri. bahati mbaya yule bibi akamtambua. akapiga makelele Ooooo! Baba Gwajima..! OOO baba yangu, akapiga magoti yule bibi basi basi zima likatifuka, kila mtu akitaka kumwona huyo Gwajima, Konda akafanya kazi kubwa kuwatuliza watu waliokuwa na shauku ya kumwona Live mtu huyo, DCM likasimama pembeni ya Barabara, akashuka kumbe alikuwa na Kundi la vipande vya wanaume wamevalia suti nyeusi na miwani na vyombo flan masikioni kana sita au nani ivi. mie sikujua kumbe walikuwa wamemzunguka. kuna magari mawili yalikuwa yakifuata kwa nyuma wakaingia ndani ya magari hayo na kutokomea. he nilishangaa sana. he Kumbe huyu ndiye Gwajima, maskini mdogo, mpole, huwezi hata jua. amevaa kawida kabisa. mbele ya wale mababa waliomzunguka alionekana mdogo sana. he kumbe anapandaga daladala zetu, aisee!

basi yule mbibi ndio akawa kama amefungiwa mota, akaanza kutuhubiria humo ndani, mie hata sikumsikia,he kumbe nilikuwa nimekaa na Gwajima!! ajabu sana, watu wakawa wananiuliza alikwambiaje..?.. sadlady mie, leo nimekutana na huyu mtu, aisee, ningembana nikachukua mawasiliano faster, aisee!! ningejua!!bahati haiji mara moja, kama kuna mtu anajua anapopatikana au kanisani kwake mie nataka ani-pm ili niende siku ya ibaada labda nitamwona, labda atanikumbuka, labda ndio itakuwa mwisho wa matatizo yangu jamani..

Mama akili yako iko kwenye makalio! Unakuja kutueleza matatizo yako ya kupigwa kibuti humu ndani? Tulikuwa na haja gani ya kujua msongo wako Wa mawazo? Gwajima naye anakuwaje habari hapa?
 
Huwezi kumsahau sababu alikufokonyola
 
thanks TAMKO , thanks for your pm. Regards.. Mods ifungeni tu sred nimeshapata nilichokuwa natafuta, sina muda na vijiwe vya miwatu mivivu yenye wivu, ishindwe na ilegee huko. inaropoka tu mitandaoni, shida zimewabamiza nafuu hata zangu, wivu ndio usiseme, ukiwafuatilia sanasana utaganda. ila siwalaumu sana best zangu hata mie nilivyo ganda kwa taabu na shida nilipo sikia mtu anatanua na chopaa kiliniuma sana na i real spat bad words to this poor fellow, ndio tullioshindwa tulivyo. but sijui nini i fell kumpenda tu huyu baba. mpole mtaratibu, kavaa casually kabisa. i hope kuna kitu sijui. nahisi kama a door to ma problems is closer now. sina shida na pesa tatizo pesa zinamomonyoka kila nikizipata kama mafuriko flan, mauzauza flan hayaishagi. mtu silali usiku fresh. shida gani hizi.. the way hi spoke to me i hope something.. i realy Hope something jaman shall happen to me.. i cant resist this feelings. .!

Wewe ni ''team Gwajima'' na hii habari ni ya kutunga na umekuja hapa kumpa promo.
 
Mungu ndiye atakaye hukumu,tu mwachie Mungu , Misukule ya gwajima itafahamika tu Bibilia ina sema wazi kuwa watu wangu anaangamia kwa kukosa maarifa
 
Labda inaweza kuwa sio habari ila kwangu Sadlady it was a great day, noted.. Nikiwa kwenye DCM natokea zangu Temeke kwenda makumbusho, sikumbuki kituo gani alipandia ila nakumbuka alikuwepo abiria pembeni yangu, aliposhuka ndipo akakaa kijana mmoja. sikuwa na time na mtu yeyote kwa sababu mambo yangu bado yana mixmix, siko poa kabisa wala sifeel kuongea na kiumbe yeyote. akanisalimia nikamjibu shot poa, mkononi nilishika gazeti ambalo sikujisikia poa kulisoma na lilikuwa na taarifa zake kwa juu. akaniomba asome gazeti , ilinikera hali ile nikamtazama usoni kwa ghadhabu na kumtupia gazeti, sikujua ni nani na sikutaka mtu anisumbue that time.

akaniuliza unamjua huyu wanaye mwandika mwandika, nikamjibu simjui na nikaongea maneno mabaya kuhusu mambo ya dini naomba nisiyaandike. ila huyo kijana alionekana mpole, ana suti yenye kibezi nzito sana, akiongea niliona kama moyo wangu unalipuka flan, sikupendelea aendelee kuongea, nikamtazama kavaa shati na sendoz wa kawaida, nikajua huyu anataka kunipigia kelele tu. basi kwa sauti yake akaniambia kusomasoma habari hizi kunaharibu ubongo wa mtu ni aheri ungekuwa na biblia ukajisomea. alipoongelea mambo ya dfini hapo alinikera zaidi eti mie niokoke.

mambo yalibadilika alipo ingia bibi mmoja, akainuka akimwomba yule bibi akae kwenye siti yake kwa sababu ya umri. bahati mbaya yule bibi akamtambua. akapiga makelele Ooooo! Baba Gwajima..! OOO baba yangu, akapiga magoti yule bibi basi basi zima likatifuka, kila mtu akitaka kumwona huyo Gwajima, Konda akafanya kazi kubwa kuwatuliza watu waliokuwa na shauku ya kumwona Live mtu huyo, DCM likasimama pembeni ya Barabara, akashuka kumbe alikuwa na Kundi la vipande vya wanaume wamevalia suti nyeusi na miwani na vyombo flan masikioni kana sita au nani ivi. mie sikujua kumbe walikuwa wamemzunguka. kuna magari mawili yalikuwa yakifuata kwa nyuma wakaingia ndani ya magari hayo na kutokomea. he nilishangaa sana. he Kumbe huyu ndiye Gwajima, maskini mdogo, mpole, huwezi hata jua. amevaa kawida kabisa. mbele ya wale mababa waliomzunguka alionekana mdogo sana. he kumbe anapandaga daladala zetu, aisee!

basi yule mbibi ndio akawa kama amefungiwa mota, akaanza kutuhubiria humo ndani, mie hata sikumsikia,he kumbe nilikuwa nimekaa na Gwajima!! ajabu sana, watu wakawa wananiuliza alikwambiaje..?.. sadlady mie, leo nimekutana na huyu mtu, aisee, ningembana nikachukua mawasiliano faster, aisee!! ningejua!!bahati haiji mara moja, kama kuna mtu anajua anapopatikana au kanisani kwake mie nataka ani-pm ili niende siku ya ibaada labda nitamwona, labda atanikumbuka, labda ndio itakuwa mwisho wa matatizo yangu jamani..

inauma sana ikiwa Kiongozi dini kuzini
 
umenipunguzia cheo bwana wewe, usiniite ----- tu bali pia mjinga, punguani, mwehu, kichaaa tena saka saka jina jingine baya zaidi nibatize nalo ila poa tu, yote kwa yote i dont care, what i need is ma problems to end. and whoever shall fix them to whatever dimension mie poa tu.. just show me the direction NITAKWENDA..! AH TODAY WAS MA DAY AISEE.. SIKU USIYO DHANI.. hata angeniombea tu ndani ya Gari lile inatosha!!. sijui nina mashetani mbona alipo kuwa akiongea nami moyo wangu ulidundadunda sana.. lakini feel nimwone tu whatever cost it take..!

Ushachezea bahat...we c ukawa unamjibu mbovu....hata Yesu anaweza akakujia kwa njia ya kawaida kabisa na utampa shit
 
Wewe ni ''team Gwajima'' na hii habari ni ya kutunga na umekuja hapa kumpa promo.
Afadhali nawe umestuka. Cooked story, ni heri mngetubu kwa ambayo mshayafanya na Mungu akawasamehe kuliko muda na nguvu mnazotumia kujisafisha mbele za macho yetu wanadamu wenzenu .:sorry:
 
Labda inaweza kuwa sio habari ila kwangu Sadlady it was a great day, noted.. Nikiwa kwenye DCM natokea zangu Temeke kwenda makumbusho, sikumbuki kituo gani alipandia ila nakumbuka alikuwepo abiria pembeni yangu, aliposhuka ndipo akakaa kijana mmoja. sikuwa na time na mtu yeyote kwa sababu mambo yangu bado yana mixmix, siko poa kabisa wala sifeel kuongea na kiumbe yeyote. akanisalimia nikamjibu shot poa, mkononi nilishika gazeti ambalo sikujisikia poa kulisoma na lilikuwa na taarifa zake kwa juu. akaniomba asome gazeti , ilinikera hali ile nikamtazama usoni kwa ghadhabu na kumtupia gazeti, sikujua ni nani na sikutaka mtu anisumbue that time.

akaniuliza unamjua huyu wanaye mwandika mwandika, nikamjibu simjui na nikaongea maneno mabaya kuhusu mambo ya dini naomba nisiyaandike. ila huyo kijana alionekana mpole, ana suti yenye kibezi nzito sana, akiongea niliona kama moyo wangu unalipuka flan, sikupendelea aendelee kuongea, nikamtazama kavaa shati na sendoz wa kawaida, nikajua huyu anataka kunipigia kelele tu. basi kwa sauti yake akaniambia kusomasoma habari hizi kunaharibu ubongo wa mtu ni aheri ungekuwa na biblia ukajisomea. alipoongelea mambo ya dfini hapo alinikera zaidi eti mie niokoke.

mambo yalibadilika alipo ingia bibi mmoja, akainuka akimwomba yule bibi akae kwenye siti yake kwa sababu ya umri. bahati mbaya yule bibi akamtambua. akapiga makelele Ooooo! Baba Gwajima..! OOO baba yangu, akapiga magoti yule bibi basi basi zima likatifuka, kila mtu akitaka kumwona huyo Gwajima, Konda akafanya kazi kubwa kuwatuliza watu waliokuwa na shauku ya kumwona Live mtu huyo, DCM likasimama pembeni ya Barabara, akashuka kumbe alikuwa na Kundi la vipande vya wanaume wamevalia suti nyeusi na miwani na vyombo flan masikioni kana sita au nani ivi. mie sikujua kumbe walikuwa wamemzunguka. kuna magari mawili yalikuwa yakifuata kwa nyuma wakaingia ndani ya magari hayo na kutokomea. he nilishangaa sana. he Kumbe huyu ndiye Gwajima, maskini mdogo, mpole, huwezi hata jua. amevaa kawida kabisa. mbele ya wale mababa waliomzunguka alionekana mdogo sana. he kumbe anapandaga daladala zetu, aisee!

basi yule mbibi ndio akawa kama amefungiwa mota, akaanza kutuhubiria humo ndani, mie hata sikumsikia,he kumbe nilikuwa nimekaa na Gwajima!! ajabu sana, watu wakawa wananiuliza alikwambiaje..?.. sadlady mie, leo nimekutana na huyu mtu, aisee, ningembana nikachukua mawasiliano faster, aisee!! ningejua!!bahati haiji mara moja, kama kuna mtu anajua anapopatikana au kanisani kwake mie nataka ani-pm ili niende siku ya ibaada labda nitamwona, labda atanikumbuka, labda ndio itakuwa mwisho wa matatizo yangu jamani..
Bibie unatafuta matatizo kama ya Flora Mbasha!
 
Back
Top Bottom