Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,673
Tembo ni wazuri wakiwa mbugani ila sio kwa kufuga..Dating site gani hiyo mkuu?usiangalie vi bastola tuu huenda mashine mbovu ipo loose
Kuna mahali alikosea
wakati wenzie wanachagua waume yeye alikua anachagua waume za watu
Dating site gani hiyo mkuu?usiangalie vi bastola tuu huenda mashine mbovu ipo loose
Sio kwamba Jf ndio umejisajili kama mwanamke ?
Harufu ya kupigwa mtu huko.
K itakua hamna ladha.
Tembo ni wazuri wakiwa mbugani ila sio kwa kufuga..
Mwanamke kuanza kutumia majina ya kiume na Picha za kiume kwa ajili ya hayo, ni dalili za USAGAJI.
Vivyo hivyo mwanaume kutumia majina ya like na Picha za kike kwa ajili hiyo, ni dalili za USHOGA.
Lakini juu ya yote ni kuanza kujifunza UTAPELI.
Hapa kavaa nguo za kikahaba. Na ukahaba ni roho, unamwoa unamweka ndani anakumbuka enzi zake.
Mwanaume mwenye akili timamu hawezi kumwoa mwanamke;
-Anayevaa suruali inayoonyesha shape take
-Anayevaa transparency cloth yoyote.
Anayeacha sehemu ya kifua/matiti wazi.
-Anayeacha magoti wazi
-Anayeweka mabreach au kunyoa vifuku au vijogoo n.k
Hata wale wanaotafuta Malaya bar and any where cha kwanza hutazama mavazi au hair style ya mwanamke ndo hupata jibu kuwa huyu Malaya au LA!