Hahahahaaaaaaa, umefanya nichekeKupekua pochi za wanawake hiyo ni dalili za mambo makuu mawili .
Una element za u-marioo(kupenda mwanamke akugharamie)
Una pepo la wizi
Hii chai yako ya moto na joto limezidi hainyweki [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
mkuu hao ndo nilowakumbukaOrodha kubwa kama unasajiri miss Tobinho
mfupi Nyemo na Eliza,Love si yule mrefu mnyankole mixer mchaga.nimemwacha lakini,anataka hela sanaMkuu Loveness ni yule mfupi au
Mmh, nomaaPole mkuu kwa kupata maambukizi.