Hivi kwa nini vijana mnachezea akili zetu namna hii[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Baada ya maandalizi ya Mapenzi Mubashara mimi ndie nieanza kwenda kuoga baada ya mimi kumaliza ndipo zamu ya Kimada changu ndio nilipoanza kuwa mpekuzi wa ghafla katika mkoba nakutana na Maharage ya kichina ndani ya mkoba aisee sikula Mzigo nilipata Hernia ya ghafla na mdada alistaahabu na kunipa pole na asubuhi nilisepa ghafla na hadi jana nimemkimbia sipatikani kwa number take.
Nimejita kufumba macho nisiione hii nimeshibdwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kupekua pochi za wanawake hiyo ni dalili za mambo makuu mawili .
Una element za u-marioo(kupenda mwanamke akugharamie)
Una pepo la wizi
Hii chai yako ya moto na joto limezidi hainyweki [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Orodha kubwa kama unasajiri miss Tobinholabda wanashare.mimi kusema ukweli sijawahi pekua handbag ya Pendo,Nyemo,Neema,Dinah,Eliza wala Sarah.aah na Loveness,sijawahi asilani
Kwa nini asingefanya hivyo kwa mara ya kwanza[emoji134] [emoji134] [emoji134]Kwa self defense inarihusiwa, hutakiwi kumuamini kupita kiasi MTU, una malengo mfuatilie taratibu bila mwenyewe kujiajua, kama hivyo kumbe anatumia ARV huoni ingekuwa ni tatizo? Kuna tabia za baadhi ya wadada na wakaka ni chafu.
Mtu anajijua ameathirika anaamua kuwaumiza wenzake kimakusudi kabisa, sasa hapo inakuwa ni issue nyengine, kwa uchunguzi kama huo mimi nauita ndio uanaume. Isiwe tu kwa wizi, dunia yenyewe hii imeshabadilika, hujui nani wa kumuamini na nani wa kutokumuamini.
Mi hua ninavyo geto, nikimleta demu akagoma kutoka hua naviweka karibu na mto[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Wengi wameupata ukimwi kwa kuaminiana kama unavyosema wewe, kuna jamaa hapa street alikuwa akibadilisha wanawake kama nguo, jamaa alikuwa yuko safi kidogo.
Akaja akatafuta binti wa kichaga na kuamua kutulia naye, kumbe alipojigundua kuwa amekwishaathirika ndipo alipoamua kutulia na huyo Dada wa watu.
Siku hiyo dada wa watu anafanya usafi ndani ya nyumba na kupekua pekua, ndipo alipokutana na vitu vya kushtusha na kuogofya, vilikuwa ni vidonge vya ARV na card iliyokuwa na HIV test results, ambapo ilisomeka positive, kamwe usimwamini MTU usiyemjua katika maisha haijalishi yuko nadhifu kiasi gani wala yupoje, mdada wa watu alipiga yowe kubwa sana mpaka baadhi ya majirani wakafika kujua kulikoni huwenda ana mapepo, ndipo waliposhuhudia hilo tukio, mwisho wa siku mdada alikimbia kusikojulikana na yule mkaka baadae alifariki.
Kwa tahadhari ni muhimu USIMWAMINI MTU USIYEMJUA HATA KIDOGO. Umemkuta tu mtu yupo singo anakutongoza unaenda tu kuvunja naye amri ya sita bila kizembezembe bila tahadhari, itakutokea puani. Ni mbay
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kupekua pochi za wanawake hiyo ni dalili za mambo makuu mawili .
Una element za u-marioo(kupenda mwanamke akugharamie)
Una pepo la wizi
Hii chai yako ya moto na joto limezidi hainyweki [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hii sio "made by madabida" ?
Mkuu Loveness ni yule mfupi aulabda wanashare.mimi kusema ukweli sijawahi pekua handbag ya Pendo,Nyemo,Neema,Dinah,Eliza wala Sarah.aah na Loveness,sijawahi asilani
Ulaya ni mbaya sana.Ukome!Baada ya maandalizi ya Mapenzi Mubashara mimi ndie nieanza kwenda kuoga baada ya mimi kumaliza ndipo zamu ya Kimada changu ndio nilipoanza kuwa mpekuzi wa ghafla katika mkoba nakutana na Maharage ya kichina ndani ya mkoba aisee sikula Mzigo nilipata Hernia ya ghafla na mdada alistaahabu na kunipa pole na asubuhi nilisepa ghafla na hadi jana nimemkimbia sipatikani kwa number take.
Hizo dawa ulikuta zimeandikwaje (label)Baada ya maandalizi ya Mapenzi Mubashara mimi ndie nieanza kwenda kuoga baada ya mimi kumaliza ndipo zamu ya Kimada changu ndio nilipoanza kuwa mpekuzi wa ghafla katika mkoba nakutana na Maharage ya kichina ndani ya mkoba aisee sikula Mzigo nilipata Hernia ya ghafla na mdada alistaahabu na kunipa pole na asubuhi nilisepa ghafla na hadi jana nimemkimbia sipatikani kwa number take.
sijui madabida ni nini mkuu lakini hiyo kitu ni yenyeweHii sio "made by madabida" ?