Nimekunywa dawa za malaria nimeamka na kiu cha castle bariid nimeshindwa kujizuia!!

Teh nimecheka sanaaa best umenikumbusha longtime ago...Tii kiu yako best achana na wanao kuombea kifo kwani na wao hawata paa kama yesu
 
Mkuu chukua na bodaboda kabisa tena uongezee nyingine kama utapungukiw nakurushia hata mpesa, Af huwa inauwag plusmodium naskiag ukitumia sema kuanzia nane iv
 
Back
Top Bottom