Nimekunywa dawa za malaria nimeamka na kiu cha castle bariid nimeshindwa kujizuia!!

Android

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
970
1,209
Nilipima juzi malaria nikakutwa na wadudu sita tu, nikaandikiwa dawa mseto, naendelea kuzimeza.

Lakini leo nimeamka na kiu sana cha castle bariid, nimeshindwa kujizuia! Naelekea kwa mangi nikajiibe fasta nikate kiu.
 
Hiii Jf imevamiwa yaani kweli mtu unakaa na kuandikaa huu ujinga ELIMU ELIMU ELIMU by Edo
 
Wazo zuri Sana kuendekeza ugonjwa na kutumia dawa na siku kuu hizi ni kujinyima haki muhimu za kibinadamu...
 
Nilipima juzi malaria nikakutwa na wadudu sita tu, nikaandikiwa dawa mseto, naendelea kuzimeza.

Lakini leo nimeamka na kiu sana cha castle bariid, nimeshindwa kujizuia! Naelekea kwa mangi nikajiibe fasta nikate kiu.

Dunia inahitaji mashujaa aina yako mkuu,tii kiu yako banaa kwani kitu gani!!!
 
mwambie mangi wenzake wote wamerudi kwa kazi maalumu yeye anasubir nini huko tutamtenga aache ujinga
 
Back
Top Bottom