..nimekumbuka mbali sana..

..nimekumbuka mbali sana..

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
1. Mandawa na manenge
2. Mzee tola
3. Mfalme mwenye masikio kama ya punda
4. Sizitaki mbichi hizi..
5. Safari yenye mkosi.
6. Siku ya gulio Katerero.
Daah! Lakin hii haichekeshi wadau. Hebu na wewe kumbukia enzi zako za primary..
 
Hawafu mwenye nguvu,
utanikumbuka,
sadiki na chitemo,
sikuelewi,
laa laa laaaaa
 
nani atamfunga paka kengele
kisa cha yai na kuku
 
1. Mandawa na manenge
2. Mzee tola
3. Mfalme mwenye masikio kama ya punda
4. Sizitaki mbichi hizi..
5. Safari yenye mkosi.
6. Siku ya gulio Katerero.
Daah! Lakin hii haichekeshi wadau. Hebu na wewe kumbukia enzi zako za primary..

dah..umenikumbusha mbali sana mzee Tola anakula gizan..siku hyo akala konokono
 
juma na uledi,urafiki wa mashaka,chitemo na sadiki,
 
Twende tukawinde, Andunje mdadisi, Ndoto za Kimweri, Brown ashika tama.
 
Kibanga ampiga mkoloni--------------hahaha, Kitambo
 
>>kilambo"sikulamba sukari
>>siku ya gulio
>>mganga pazi
>>siku ya mashujaa
>>heri mimi sijasema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom