Nimekumbuka Mbali Sana Leo....!!!!

Nimekumbuka Mbali Sana Leo....!!!!

Usiombe kumwona mwenzako anaomba/anatumia hivi vifaa kwenye paper alafu wewe huoni pa kuvitumia lazima upaniki!!
Umesababisha nicheke peke yangu kwani nimekumbuka mbali
 
Umesababisha nicheke peke yangu kwani nimekumbuka mbali
Hahahahah acha mkuu wenzako wametoka wanasema jibu la swali flani ni 9.5 we unakumbuka umejibu ni South Africa!!! 😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Et find the value of x Wakat unaiona [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
IMG-20161228-WA0020.jpg
 
Back
Top Bottom