Acha nongwa mkuu, jenga chama, kila mtu na wakati wake.Moyo wangu umeumia sana tumekesha usiku na mchana kujenga na kuimarisha chama nafasi wanapewa kijana wa Issa michuzi,Hayati komba ambao hawakuwai japo kusema Ccm oyeee
Aloo teh teh teh,ila pole sanaMoyo wangu umeumia sana tumekesha usiku na mchana kujenga na kuimarisha chama nafasi wanapewa kijana wa Issa michuzi,Hayati komba ambao hawakuwai japo kusema Ccm oyeee
Kabisa atulie tu,wakti wake wajaAcha nongwa mkuu, jenga chama, kila mtu na wakati wake.
Jamani,pole sana, ila usijal wakti wako utafika tuNimekua mnyonge sana,mkuu.
Vipi mkuu umekatwa ???Wakati nipo chuo nasoma shahada ya utawala niliwai kumwomba lecturer wa somo ruhusa ili niudhurie ugeni toka Dsm,mama yule alinijibu "Unapoteza muda CCm hawawezi kukupa chochote hivyo vyeo unavyoviona wanapatiana wao kwa wao ninyi watoto wa maskini mnadanganywa na kutumiwa"
Leo ndio nimeamini alichokuwa akisema ni sahihi.
Teh tehVipi mkuu umekatwa ???
Watu walioko kwenye system ni wale wale....Teh teh
Acha kumpa majonzi mweznio
Hahaha yajayo yanafurahisha