Nimekula NYAMA YA MBWA

inawezekana kwa vile @Madela Wa- Madilu kaandika lugha ya malkia hamjamuelewa: acha ninukuu kwa kiswahili halafu mjibu hili swali:

Walawi 11:4-5
msile ngamia, kwani hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika sehemu mbili. kwenu huyo ni najisi.



Duh.. kumbe... mbona wanakula hawa wenzetu
 
alivyo vitakasa Mungu usiviite najisi (matendo.10🙂 kimuingiacho mtu si najisi bali kimtokacho Yesu alivyosema hivyo alitakasa vyakula vyote mana moyoni mwa mtu utoka mawazo mabaya kama wivu, uongo, chuki, fitina nk. Ivi kula nyama ya nguruwe na kuchoma nyumba ya ibada ipi zambi?.
 
dah....mbwa huyu huyu ninayemjua.....kudadeki wallah......
 
uwiiiiii jamani pole! pole mnoooooo! lolest, jembe la mbwa kiboko, inaelekea aliwekwa viungo vikakolea, ulimezaje sasa kwa pupa, na serengeti juu, wife ulimsimiulia au ulikufa nayo kisabuni.?
 
Kalenga iringa wanagonga sana hii kitu,mbona hawafi?
 
Baada ya kusoma nahisi mate ya kichefuchefu yanajaa mdomoni! Najuuuuuuuuuuuuuta kuisoma!
 
Nyama ya mbwa ni nzuri sana kiafya. Ukiwa unakula mara kwa mara hupatwi na magonjwa ya hapa na pale. Pande hizi za Asia tunakamua kwa kwenda mbele tu. Kawaida sana

ni nzuri inaongeza jotoridi la mwili vilevile nishati...supu yake huliwa sana nyakati za baridi kali...

hata Wahehe hutumia hii kitu maana Iringa nako si haba kwa baridi.
 
dah....mbwa huyu huyu ninayemjua.....kudadeki wallah......

Preta....huyo huyo siye huku Mashariki ya mbali tunagonga, halafu bei yake ipo juu....

Baada ya kusoma nahisi mate ya kichefuchefu yanajaa mdomoni! Najuuuuuuuuuuuuuta kuisoma!

mwaj washangaa nini?...once ukionja wallah utakua mdau
 
LOL.....Pole, mficha uchi maradhi hummumbua.
 
Kama tu bia tu2 tu tumekuzingua ukashindwa kujua tofauti ya nyama ya mbuzi na mbwa basi ipo siku utampalamia mamamkwe wako kwa mabusu ukifikiri ndio mkeo,sasa kwa ushauri wangu pls hiyo mibia ipotezee kabisa mkuu.
 
Nilidhani mbuzi, sijaona tofauti. Sijui sababu y aile bia niliyopiga fasta???

Hizi MBOGA aka nyama usipoambiwa ni yanini utafikiria ni zile tulizozoea!!!!! Kikubwa kama ladha ilikuwa bomba na haijakudhuru basi shwariii!!!!

Taabu siyo wateja wote tuna uwezo wa kwenda kukagua nyama kabla hawajaanza kukuandalia tuwapo kwenye Bar na hotelini. Kwa style hii tutakuwa tushakula wanyama wa aina mbalimbali tunaodhania HAWALIWI🙂
 
inawezekana kwa vile @Madela Wa- Madilu kaandika lugha ya malkia hamjamuelewa: acha ninukuu kwa kiswahili halafu mjibu hili swali:

Walawi 11:4-5
msile ngamia, kwani hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika sehemu mbili. kwenu huyo ni najisi.
BADILI TABIA hiyo walawi ni sura ya ngapi katika quran yetu sisi waislam..?! kama haipo kwenye quran then hainihusu mimi......
 
Last edited by a moderator:
Ukome, hii yote ni matokeo ya udanganyifu kwa mkeo. Hivi unashindwa kutofautisha tofauti ya testi za nyama? Nyie binadamu vipi.
Wakati mwingine taste za nyama hazitofautiani tena ukiwa na kilevi kichwani.
 
Du hongera sana kwa kubadili kitoweo.Hakuna haramu vyote vilihalalishwa na mwana wa Adam.
Siku moja moja unaendelea kushtua tena kama kawa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…