Nimekula nyama ya MBWA: Ni tam hakuna mfano!!!

Nimekula nyama ya MBWA: Ni tam hakuna mfano!!!

Mletamada Free Thinker !
Ukileta mada , basi weka na umakini yale wadau tunayokuuliza.
Unajibu kwa kuchagua yalio mepesi au?
Kuna swali langu hapo juu, naona ni kama unalikwepa hivi !
Coz umejb ya juu yng , chini yangu , shoto yng , kulia yangu!
Langu ukalikimbia! Ht kama gumu unasema tu! "Sina jibu"
 
Last edited by a moderator:

duuuh!!yani mimi nikienda kusalimia
kwa mtu hua naweka oda ya menu kabisaaaaa!!
hizi tabu siziwezi!!
 
Kwengineko utakuja karibishwa na kujakuta nyama ni tamu zaidi ya hiyo ya dogi .
Ambapo utakapo uliza ni ya mnyama gani ?
Utaambiwa ni ya Mtu!
Ukiwa bado unatahayuri unaletewa kichwa cha mtu , huku waulizwa :
"Tukufungie na hichi kichwa (kina domo ka'la' diamond) ukakichemshe supu hom?"
Je? Utaondoka nacho?

Khaa!!!
Nyama ya binadamu mwenzangu Judgement?!!!
Hapo lazima sheria ichukue mkondo wake!
hata kama ni tam,ila ni KOSA kisheria,duniani na mbinguni.
Nyama zngne hatuli kutokana na mazoea tu,mfano mbwa ni tam kuliko ng'ombe,kuku,pork na nyati.
 
Last edited by a moderator:
Mletamada Free Thinker !
Ukileta mada , basi weka na umakini yale wadau tunayokuuliza.
Unajibu kwa kuchagua yalio mepesi au?
Kuna swali langu hapo juu, naona ni kama unalikwepa hivi !
Coz umejb ya juu yng , chini yangu , shoto yng , kulia yangu!
Langu ukalikimbia! Ht kama gumu unasema tu! "Sina jibu"

Nimelijibu kaka Judgement...
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha!
Umewah kula senene au kumbikumbi kabanga?
Yan kuna vitu watu hawali,lakini vitam balaa
awali niliwahi kula kumbikumbi, lakini senene kwa mara ya kwanza nilipofika bukoba ndipo nilikula....Ah watamu aisee! hata nanii ile wanaita kate... nini sijui nilijaribu kule kwa mara ya kwanza!
 
awali niliwahi kula kumbikumbi, lakini senene kwa mara ya kwanza nilipofika bukoba ndipo nilikula....Ah watamu aisee! hata nanii ile wanaita kate... nini sijui nilijaribu kule kwa mara ya kwanza!

Sasa kwa mtu asiye jua senene anakuona wa ajabu kweli,lakn utam wake!
Hata mbwa ni watam kulko nyama yoyote niliyo wah kula,sema tu jinsi ya kuiandaa ndio ishu!
hapo kwenye bold,mmmh!
 
Sasa kwa mtu asiye jua senene anakuona wa ajabu kweli,lakn utam wake!
Hata mbwa ni watam kulko nyama yoyote niliyo wah kula,sema tu jinsi ya kuiandaa ndio ishu!
hapo kwenye bold,mmmh!
mmmh nini sasa....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom