mim ni mwenyekiti.....
unajua mkuu shida yao ni moja...wanasema siku izi mioyo yao ina :A S-key::A S-key::A S-key::A S-key:
Unataka kuharibu sasa wewe swahiba....
Jopo aunde babu halafu ujichulie mamlaka ya kulisimika.....
Please...kaa kando utuachie tuchape mzigo... and you need to keep your fingers crossed!!
Hapa hatuhitaji msaada wa upande wapili kwa sababu tunadili na mambo ambayo purely ni ya kiume...
Wakuje wasikilize tu...BASI!!
Babu DC!!
Kwani wewe siku hizi ni mwanasheria, tena advocate?
Hebu achana nao bwana...
Ukuje kwenye jopo tuokoe maslahi ya mwanamume mwenzetu...
Umesahau kwamba inauma sana kunawa halafu ukanyimwa msosi??
Babu DC!!
hahahah!....
nasikia huwa wanawapa watu wao hizo :A S-key::A S-key::A S-key:....alafu wakizipokonya wanawapa 'wengine'
sasa tuanze mkutano.....ivi we Mbu ulikumbuka kuchonga :A S-key::A S-key: wa akiba?
Unajoin jopo mkuu?
Babu DC!!
Mkuu mimi huwa nabaki na spare:A S-key:...! Kwahiyo naweza ku-"Turn Back The Hands Of Time"...!
Hapa ndiyo unataka kujifunza nini mwanafunzi anayesubiri graduation??
Babu DC!!
.......kha!???
Labda kama co-opted member with no voting rights....
Uko tayari kwa hilo?
Halafu inaugural meeting ni kesho pale Tanga Beach Resort...Sahare.
Babu DC!!
Sawa ila machozi hayaruhusiwi kabisa kwenye jopo letu...Dah.............umebana kabisa sio? Poa tu Babu DC kwa hisani ya Soulmate nakubali kuwa msikilizaji tu. COunt me in tafadhali.
Sawa ila machozi hayaruhusiwi kabisa kwenye jopo letu...
Yeyote mwenye kifua chepesi atakuwa amejivua uanachama hata kama ni level kama yako....
umeelewa?
Babu DC!!!
................Hahah sasa Babu Dark City nilie nini tena? Labda machozi ya furaha si unajua tena kwa Soulmate wangu hii suluhu inamatter sana? Hasa kwa mwezi huu bwana?
...............Haha Babu Dark City..... all I do is to wish him the best of lucky.......eh ndio maana nimenyimwa voting power nadhani niko too emotional hahahah........... ! Ngoja niwaachie wanaume...... Ila Babu we umejitolea kumsaidia unamsaidia kufanya nini, if I may ask? Maana yeye ameonyesha kujuta na kutamani kurudisha mshale wa saa nyuma, but hajasema kama anataka mshale urudi ili aamend/undo kilichotokea au anataka tu asamehewe........... Soulmate Mbu nakuchokoza hapa si unanjua tena mie?Hivi umesahau kuwa matokeo yoyote huwa na dimensions mbili?
Au wewe umeshatangaza ushindi Wa mezani?
Babu DC!!!
In the end:-
...............Haha Babu Dark City..... all I do is to wish him the best of lucky.......eh ndio maana nimenyimwa voting power nadhani niko too emotional hahahah........... ! Ngoja niwaachie wanaume...... Ila Babu we umejitolea kumsaidia unamsaidia kufanya nini, if I may ask? Maana yeye ameonyesha kujuta na kutamani kurudisha mshale wa saa nyuma, but hajasema kama anataka mshale urudi ili aamend/undo kilichotokea au anataka tu asamehewe........... Soulmate Mbu nakuchokoza hapa si unanjua tena mie?
Huu ubaguzi wa kumtenga mjukuu wangu mtiifu MwanajamiiOne haukubaliki hata kidogo!!....mnh, ili kuwaenzi waliotangulia, panabidi pawepo na angalau 1/3 ya kina mama.
Lakini, bila uwepo wa AshaDii, WomanOfSubstance, Lizzy na Freema Agyeman, hilo jopo mie sitalikubali!
Schoolmate, ukiendelea namna hii, taifa litajengwa na kina nani??Mkuu mimi huwa nabaki na spare:A S-key:...! Kwahiyo naweza ku-"Turn Back The Hands Of Time"...!