Nimekukumbuka Polepole: You made a terrible mistake!

Usingelifanya harakati zako ( nzuri, I can say by now) ukiwa hapa!

Walijua una siri zao nyingi, lazima wakumaliza as they have done!

Nakuombea huko ulipo tukuone tena.

AMINA
Hakuwa na akili za kufanya analysis. Alijaliwa mdomo tu wa kubwabwaja, lakini kutathmini risk na kufanya mitigation alikuwa ni SIFURI kama alivyopata matokeo ya NECTA Zero division pale B Mkapa Sekondari.

No regrets kwa yaliyompata, mwana kulifind na mwana kalipata. Amsalimie JPM huko aliko
 
Usingelifanya harakati zako ( nzuri, I can say by now) ukiwa hapa!

Walijua una siri zao nyingi, lazima wakumaliza as they have done!

Nakuombea huko ulipo tukuone tena.

AMINA
Humphrey alikuwa hana akili... serikali imekupa heshima ya kuwa ambassador! Ukiwa bado kijana mdogo, wenzie wanatafuta nafasi hata ya ukuu wa wilaya tu au udiwani,
we leo unapewa nafasi kubwa kabisa na serikali unajifanya mzalendo uchwara wakati kwenye nafsi yake alijawa na chuki ya kidini tu na jinsia....ni bora hata kama alikuwa hampendi Samia angesubiria tu amalize muda wake then ndio aanze izo harakati zake uchwara..... Humphrey sio wakumuhurumia kabisa......alivyo mjinga sasa! Umetoa kauli kali dhidi ya serikali halafu bado unarudi Nchini!!!!
Yule mkubwa ambae ni Teeth kamuingiza chaka kuwa we rudi tu hakuna watakalokufanya.....
 
Alikuwa mpumbavu kupindukia, mfumo alioshiriki kuutengeneza na kuutetea umemtsfuna masikini ya Mungu.
Ujasiri wa nzi matokeo yake huwa ni kifo chake mwenyewe.
Jamaa alikuwa kilaza namba moja...bora tu walivyo mmaliza kama nikweli.
 
Sasa alikuwa Cuba gani huyu jamaa?

Amechemka sana, hata hawa wanaojiita TFF kwa kuamini VPN nawahurumia sana, watamalizwa kimyakimya tena hawa wala hawahitaji kesi.
 
Sijui Polepole alitumia akili gani. Hata watu wa kawaida tu walikuwa wanaamini haiwezekani Polepole kudakwa kizembe, wakiamini asingekiwa Tz
Nadhani walikuwa na mchongo wa kumaliza kazi ya kumtoa Samia mapema. Alipogeuka akakuta CCM wenzie hawapa.
Huenda kuna namna alisalitiwa/aliuzwa na watu aliowaamini.
 
Ila tarehe 29, 30 walimuheshimisha. Hata kama alikuwa kashatangulia, ila walimuenzi. Lazma alikuwa proud. Ila sasa to think of it, kumuondoa Polepole imewasaidia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…