Nimekubali nimefilisika, kwa sasa natuliza ubongo

Nimekubali nimefilisika, kwa sasa natuliza ubongo

Muuza Viat

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2022
Posts
2,865
Reaction score
7,473
Mimi hapa muuza viatu nilikua mbishi kwa kuukataa ukwel mchungu kuwa nimefilisika hatimaye nimekubali kuwa nimefirisika biashara zangu zote zimekufa.

Mwaka 2022 soko liliungua kinomanoma na mimi nikiwa miongoni mwa waathirika kutokana na presha kwamba labda tunaweza tukazuiwa kurudi kufanya shughuli zetu ndani ya soko. Tukalazimika kutumia nguvu kubwa kuhakikisha tunarudi na kujenga mabanda kwa haraka kama zali tulifanikiwa lkn kwa upande wangu biashara hazikwenda vizur na kupelekea biashara kusinyaa mdogomdogo. Baada ya kula faida nililazimishwa kula mtaji huku nikijifariji ipo siku mambo yatakua sawa huku nikiendelea kuchukua hatua mbalimbali kama kumwaga sana maji ya upako, kuwaleta wanamaombi na kuendelea kutoa fungu la kumi ingawaje biashara haizalishi faida.

Baada ya kupambana zaidi ya mwaka unusu niliona hapa nalazimika kutia busta labda itakaa sawa. Nilienda bank nikakopa milioni 30 na nikailipia fungu la kumi na mimi mwenyew nilikua sijajinunulia mahitaj kitambo nikajipendelea, nafika home wife ananishangaa mbona yeye sijamkumbuka nae nikampa. Nageuka pembeni nawaona watoto nao wananiangalia hawaongei kitu nao nikawapa nakuja kuangalia salio nimebakiwa na m18 duu! Nikajipa moyo kwa vile ina upako hakuna kitakachoharibika mzee mzima nikaingia mtumbani.

Nilikomaa mpaka Feb mwaka huu kausha damu wa mule sokoni wote walikua wananijua wote niliwakopa na nikashindwa kuwalipa kwa sababu biashara ilishajifia, angalau ule mkopo wa bank ulilipwa kwa pesa ya kodi ya kibanda na kausha damu walishindwa kukitaifisha hiki kibanda kwa sababu wife alishashtukia anguko langu kitambo akabadili jina la umiliki ktk vitu vyangu vingi tu kwa sabab niliwahi kuuza daladala tatu zilikuwa zinapiga ruti ya tandika mwanagati bila kumshirikisha.

Nimekubal nimefirisika kwa sasa natuliza ubongo nadhan mwakan nitaanza tena harakati
 
Mimi hapa muuza viat nilikua mbishi kwa kuukataa ukwel mchungu kuwa nimefirisika hatimaye nimekubal kuwa nimefirisika biashara zangu zote zimekufa.

Mwaka 2022 soko liliungua kinomanoma na mim nikiwa miongon mwa waathirika kutokana na presha kwamba labda tunaweza tukazuiwa kurud kufanya shughuli zetu ndani ya soko tukalazimika kutumia nguvu kubwa kuhakikisha tunarud na kujenga mabanda kwa haraka km zali tulifanikiwa lkn kwa upande wangu biashara hazikwenda vizur na kupelekea biashara kusinyaa mdogomdogo baada ya kula faida nililazimishwa kula mtaj huku nikijifarij ipo siku mambo yatakua sawa huku nikiendelea kuchukua hatua mbalimbali km kumwaga sana maji ya upako,kuwaleta wanamaombi na kuendelea kutoa fungu la kumi ingawaje biashara haizalishi faida.

Baada ya kupambana zaid ya mwaka unusu niliona hapa nalazimika kutia busta labda itakaa sawa nilienda bank nikakopa m30 na nikailipia fungu la kumi na mimi mwenyew nilikua sijajinunulia mahitaj kitambo nikajipendelea nafika hom waif ananishangaa mbona yey sijamkumbuka nae nikampa nageuka pemben nawaona watoto nao wananiangalia hawaongei kitu nao nikawapa nakuja kuangalia salio nimebakiwa na m18 duu! Nikajipa moyo kwa vile ina upako hakuna kitakachoharibika mzee mzima nikaingia mtumban.

Nilikomaa mpaka Feb mwaka huu kausha damu wa mule sokon wote walikua wananijua wote niliwakopa na nikashindwa kuwalipa kwa sabab biashara ilishajifia angalau ule mkopo wa bank ulilipwa kwa pesa ya kod ya kibanda na kausha damu walishindwa kukitaifisha hiki kibanda kwa sabab waif alishashtukia anguko langu kitambo akabadili jina la umiliki ktk vitu vyangu vingi tu kwa sabab niliwah kuuza daladala tatu zilikuwa zinapiga ruti ya tandika mwanagati bila kumshirikisha.

Nimekubal nimefirisika kwa sasa natuliza ubongo nadhan mwakan nitaanza tena harakat
backward Never Forward Ever gentleman.🐒

Kufirisika ❎
Kufilisika ✅
 
Kwenye hii Titanic ya kiuchumi tupo wengi sana Chief,kama nguvu ipo kidogo tafuta Bajaj used 1 jisajili bolt. Hii itakusaidia kukamata hizi elf 50-60 za kila siku kuishi wakati bado unaumiza kichwa kwa ajili ya move nyingine kubwa.
 
Nwanzo wa kufilisika ni siku uliyopeleka pesa ya mkopo wa bank fungu la kumi kabla biashara haijaanza.

Mungu anabariki kazi ya mikono yako siyo makosa ya maamuzi yako.

Pongezi nyingi kwa shemeji kwa kuwa na high IQ ya kukuwahi na kubadili umiliki wa kibanda, lasivyo hata hapo unapofikiria kupumzika ungekuwa unawaza kodi ya pango.

Tuliza ubongo wako sawa sawa maana upako wa maskini ni nidhamu ya pesa yake pekee.
 
Sasa fungu la 10 kwenye pesa ya mkopo wapi na wapi?!
We jamaa usipo badilika na kujuwa the whole context about money na finance utapiga jalamba sana!

Huo ulokole uchwara wako utakupigisha mieleka mpaka ukome.
 
Mimi hapa muuza viat nilikua mbishi kwa kuukataa ukwel mchungu kuwa nimefirisika hatimaye nimekubal kuwa nimefirisika biashara zangu zote zimekufa.

Mwaka 2022 soko liliungua kinomanoma na mim nikiwa miongon mwa waathirika kutokana na presha kwamba labda tunaweza tukazuiwa kurud kufanya shughuli zetu ndani ya soko tukalazimika kutumia nguvu kubwa kuhakikisha tunarud na kujenga mabanda kwa haraka km zali tulifanikiwa lkn kwa upande wangu biashara hazikwenda vizur na kupelekea biashara kusinyaa mdogomdogo baada ya kula faida nililazimishwa kula mtaj huku nikijifarij ipo siku mambo yatakua sawa huku nikiendelea kuchukua hatua mbalimbali km kumwaga sana maji ya upako,kuwaleta wanamaombi na kuendelea kutoa fungu la kumi ingawaje biashara haizalishi faida.

Baada ya kupambana zaid ya mwaka unusu niliona hapa nalazimika kutia busta labda itakaa sawa nilienda bank nikakopa m30 na nikailipia fungu la kumi na mimi mwenyew nilikua sijajinunulia mahitaj kitambo nikajipendelea nafika hom waif ananishangaa mbona yey sijamkumbuka nae nikampa nageuka pemben nawaona watoto nao wananiangalia hawaongei kitu nao nikawapa nakuja kuangalia salio nimebakiwa na m18 duu! Nikajipa moyo kwa vile ina upako hakuna kitakachoharibika mzee mzima nikaingia mtumban.

Nilikomaa mpaka Feb mwaka huu kausha damu wa mule sokon wote walikua wananijua wote niliwakopa na nikashindwa kuwalipa kwa sabab biashara ilishajifia angalau ule mkopo wa bank ulilipwa kwa pesa ya kod ya kibanda na kausha damu walishindwa kukitaifisha hiki kibanda kwa sabab waif alishashtukia anguko langu kitambo akabadili jina la umiliki ktk vitu vyangu vingi tu kwa sabab niliwah kuuza daladala tatu zilikuwa zinapiga ruti ya tandika mwanagati bila kumshirikisha.

Nimekubal nimefirisika kwa sasa natuliza ubongo nadhan mwakan nitaanza tena harakat
pole champion kuanguka sio kushindwa ila kuendelea kulala ulipo anguka ndio kushindwa. Hongera kwanza kwa kukubaliana na hali unayopitia na wala sio udhaifu bado una nafasi ya kusimama tena na kurudi kwa nguvu kubwa May LORD JESUS CHRIST make a way where seems to be no way
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom