Kwahiyo badala ya kuitandika nikate kiu,niiachie chini kwenye sakafu!!!!!!!
No wonder accacia wametuibia till 100+.
Ni mchanganyiko wa sukari na gesi za mlipuko. Nimeitaimu hiyo chupa ilikuwa kwenye freezer
Halafu ukitaka kuona Iraq iangushe hiyo chupa kwa nguvu ipasuke.
![]()
Sasa hofu yako wewe ni kulipuka pindipo ukiinywa ama?? Na itatokeaje wewe ukiinywa ukatingishwa na kutupwa chini pwaah!!Jaribu mkuu. Itingishe hiyo chupa halafu ipige chini pwaaaah. Uandae na kitanda Muhimbili lakini[emoji23][emoji23][emoji23]
Alikukanyaga bahati mbaya......, ukamlipua makusudi mkuu.Watu buana! Mwingine jana kaingia kwenye Bus tunaelekea Moshi kaanza matangazo yake ya madawa. Kisha anauliza watu "ukinywa kokakola ile rangi nyeusi inaenda wapi?"
Mie nikamjibu "Ukila wali ile rangi nyeupe inaenda wapi?"
Amin amin nakuambia hakuuza dawa hata moja!
, dengelua, boha, wanzuki, dadiii, mbege, pingu, ugimbi etcHamlazimishwi.....Kunywen togwa, lubisi,ulanzi na mi'pombe mingine ya asili itayokosha nyoyo zenu
Mwaka wa 37 huu,toka enzi za sikukuu napiga coke sijaona kipande cha utumbo.Wewe kata kiu na yenyewe inakata utumbo, Ngoma droo.
Coca cola huwa situmi kwa kunywa ila naitumia kusafisha/kutoa carbón kwenye betry za gariPropaganda