Nimekubali Cocacola haifai kunywa

Ndo unaligundua leo hilo sio coca cola hata pepsi pia kimsingi sio nzur kabisa kunywa mara kwa mara hizi soda
 
Acha kuaribu biashara za watu kwa tafiti zako zisizo na kichwa wala miguu.
 
Kweli kuna watu wamejikunja hawanyoosheki kama ngozi ya goti. Ila aliyesema nimetumia picha ya jirani yangu kapatia. Mimi siweki soda kwenye freezer.
Halafu ni mpenzi sana wa cocacola. Ila baada ya kuina hiyo migesi kwenye coca iliyoganda ninakuna kichwa kuhusu yanayosemwa juu ya hizi soda. Pepsi ni hivyo hivyo hamna tofauti.
 
Ni mchanganyiko wa sukari na gesi za mlipuko. Nimeitaimu hiyo chupa ilikuwa kwenye freezer
Halafu ukitaka kuona Iraq iangushe hiyo chupa kwa nguvu ipasuke.

d8c92ec94053c1d315c22c1c059098b1.jpg
Embu tupe link ya ulikodownlodia io picha.
 
ata maji ukiwek kwenye chupa then kwenye freezer yatabehave hvyo as yana expand in cooling
 
Halafu cocacola ilivyo noma unaweza kupigia mswaki mdomo wako ukawa kwatu kabisa.
 
Utoto huo

dhumuni lako kuu ni kuturingishia hayo matunda hapo.

Coke diet zipogo kumbe,mie kashamba bana nshazoea zile zenye karatasi jekundu na maandishi meupe
Picha yenyewe ka download. Soda yangu pendwa hiyo

don't care for those who ignore you,care for those who are ignoring others for you[\color]

 
Hii itakuwa vitu tu sasa kati ya matajiri wakubwa ..MKUU umekula ngap ili uchafue biashara za watu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom