mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,327
- 57,133
Shule kivipi wakati kitambo tu nisha maliza, na sina tena wazo la kurudi shule kwa maana sasa hivi nina wazo la kufight kuhusiana na maisha yangu mkuu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh! Ni kweli kabisa naona hapa uncle anavyo pigana kila siku anaacha pesa ya matumizi kila akitoka asubuhiNikuhakikishie ukiwa geto kwako ukanunua vitu kwa pesa yako yaan unatumia pesa yako ndio utajua uchungu wa mama kuvunjiwa glasi unakuwaje...
Hilo ghetto lipo wapi?MIMI ND'O NIMETOKA KULIPA PANGO YA MIEZI MITATU LEO ELFU 13,500/=,
NA KUNUNUA BAKULI 1, VIKOMBE VIWILI NA SAHANI 2 ZA PLASTIKI ZA KUANZIA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habari za mwaka 2020 sina budi kumshukuru Mungu kwa kuuona tena mwaka mwingine na nawatakia maisha mema na maendeleo.
Niingie moja kwa moja kunako maada yangu wapendwa
Kwa sasa nina miaka 24 sijaoa bado toka 2018 mwezi wa 09 nimetoka nyumbani maeneo ya Sengerema nimekuja Mwanza.
Nilipofika nilifikia kwa ndugu yangu ambaye ni kama mdogo wangu maana namzidi umri kati ya miaka 2.
Nimekaa pale kama miezi 3 baada ya hapo nilienda kwa mjomba wangu ambaye nae yupo huku Mwanza. Nimeishi kuanzia mwezi wa 11-2018 na mpaka sasa hii 2020 nipo kwake.
Napiga harakati ndogo ndogo kujipatia hela ya matumizi na kuna wakati napiga naye ishu za kazi.
CHANGAMOTO YANGU KUBWA
Natamani na mimi nijitegemee; maana yake nipange geto langu nianzishe maisha yangu kama kijana. Hadi nahisi aibu muda wote kuishi bila wazo lolote ambalo litasababisha changamoto ya kujikwamua katika maisha.
Na kama mnavyojua changamoto ya kuishi kwa mtu yapasa uvumilivu, na kingine ambacho naogopa ni kuhusu hofu ya kwamba maisha ya geto ntayaweza nikiwa mwenyewe? Labda siku nikikosa ramani ya pesa itakiwaje?
Lakini wazo la kutoka hapa kwa mjomba bado sijamshirikisha nimepanga nikipata pesa ya kununua godoro na pesa ya pango la miezi mitatu ya kianzio ndiyo namtaarifu kuhusu hili.
Nimepanga mwezi wa tano niwe nishatoka hap kwa uncle na sitaki kurudi sahizi kijijini nataka nipambane kama kijana kabla sijaoa.
NATAMANI SANA USHAURI WENU WAKUU. JE, NIPO SAHIHI KWA MAAMUZI NINAYO TAKA KUCHUKUA MWAKA HUU 2020?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante hata mimi natumaini kusafiri masika ijayo
Sawa mkuuHaya.Kumbe machalii mko wengi humu eeh!!
Mwambie bi mkubwa akuache ukaanze maisha yako.Watoto wa kike ndio huwa tunapenda wakae kae home mpaka umri huo.
Big up bro,tusiogope changamoto za kuishi wenyewe bila ya wazazi kuwa karibu na nilichogundua kuishi hom huwezi panuka akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta box mkuuHapana kwa sababu kuna kitu ambacho naona ni cha muhimu geto sijakamilisha yaan sehemu ya kuweka ubavu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] La kutandika mkuu au?Tafuta box mkuu
Duh! Sahiz haupo homekuwa last born shida sana Nalazimishwa kurudi nyuumbani Dead line mwisho wa mwezi huu wote waeondoka mimi natakiwa nkakae na Mom Napiga hesabu za kutokwenda [emoji35][emoji35]
yap nmefikisha 22 Yrs Juzi tuu 😂😂
hiyo pesa yote ya nini....?Yaap ni kweli mkuu lakini inategemea na kianzio cha pesa tayari ulikuwa nacho, hata mi pia ningekuwa na hata tsh 150000 ,chap sana ningetoka hata mwezi huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaajili ya kununua vitu pamoja na godorohiyo pesa yote ya nini....?