Nimekua, natamani kujitegemea

Ni mawazo mazur ulonayo.Jitahid uhakikishe yanakua halisi.Ukiona una unsettled mind namna hiyo,basi ujue tayar ushapiga hatua moja wap kuelekea maendeleo.

Hofu ni kawaida tu kuwa nayo na usfikir kuna siku utakosa kuwa na hofu.So usi mind sana kuhus hilo maana hata sie wenye miaka kibao kwenye ndoa na maisha kila siku hofu tunazo.Ndio zinatufanya na pia zinatusukuma kuendelea kupambana.

I remember Gheto langu la kwanza kupanga nikiwa na 22 years ilikua tandika, nakumbuka ilikua 25,000/= per month.Kamlango kabovuu, dirsha hovyooo..bati imechoka choka linavuja maeneo kadhaa kiasi kwamba mvua ikinyesha nattegesha sufuria kuzuia maji yasijae ndani halaf usiku panya wa nje wanaingia ndani kujistili .wakat wa kulala usiku mlangoni naweka vyombo ila mtu/mwizi akitaka kuingia akisukuma mlango vidondoke nishtuke
Ahahahahaha.

Nilikua sikaribishi wshkaji kabisaa.Mademu ndio hata sikuwah mana kagheto dah kalikua kabaya kwel yan.
But ukiwa kwako trust me unnapata fursa ya kuwaza kuendelea na kupiga hatua mbele.
Nikapambana baadavya miaka kadhaa nikahamia ka gheto kazuri zuri kidogo.
Baada ya miaka tena flan nikapanga chumba sebule.
Baada ya miaka flan tena nika panga nyumba nzima standard
Here we are...hata habar za kupanga tushazisahau

Dont settle for the less

All the best.
 
Hongera japo changamoto huwa hizo kwa maana ya uendeshaji wa bajeti yako ukiwa na pesa nyingi usiji sahau maana kunakipindi utapigika dolo mpaka utakosa hela ya Maji 500tzs
Mwanzo huwa mgumu siku zote lakini unazoea Kama Kodi unaweza jinsi gani nitaweza kuimudu hata usipo pata hiyo pesa kwa wakati kikubwa Jenga uhusiano mzuri tu na mwenye pango lake hata kubana kivile ili usije ukaona ulikosea kufaya maamumizi kingine niwashauri vijana usipange ghetto kisa mademu panga kwa malengo yako utatoka na usipange ikiwa huna shughuli yoyote ya kufanya mjini
Na mwisho kabisa kuwa makini na mademu wengine unapotaka awe anakuja kukusaidia kazi za ghetto lako Kuna lolote linaweza kutokea kuibiwa au kusakiziwa mimba au ndoa ya mkeka
 
Binafsi nikupongeze kwa kuwa na wazo hilo. Kujitegemea na kuwa na geto binafsi kwanza utapata changamoto ambazo zitakujenga, pili utastrugle kuhakikisha geto linakuwa na vitu muhimu na utajua vitu vingi zaidi na utaithamini pesa yako unayoipata.
 
Hapana hakuoa kipindi chote Cha ufalme wake na hakupenda kuwa karibu na mwanamke. Jambo hili lilimfanya kuwa mfalme wa pekee kama yule wa oman
 
Binafsi nikupongeze kwa kuwa na wazo hilo. Kujitegemea na kuwa na geto binafsi kwanza utapata changamoto ambazo zitakujenga, pili utastrugle kuhakikisha geto linakuwa na vitu muhimu na utajua vitu vingi zaidi na utaithamini pesa yako unayoipata.
Dah hadi machozi yanataka kunitoka kwa maana nakumbuka nimekuwa nikipata pesa na kuzitapanya ovyo nimekaa nikatafakari kumbe tatizo ni hii hali ya kuishi kwa mtu,wakati huo hupati changamoto yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah hadi machozi yanataka kunitoka kwa maana nakumbuka nimekuwa nikipata pesa na kuzitapanya ovyo nimekaa nikatafakari kumbe tatizo ni hii hali ya kuishi kwa mtu,wakati huo hupati changamoto yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikuhakikishie ukiwa geto kwako ukanunua vitu kwa pesa yako yaan unatumia pesa yako ndio utajua uchungu wa mama kuvunjiwa glasi unakuwaje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…