Nimekoswa koswa, kina dada hatari sana

Nimekoswa koswa, kina dada hatari sana

Mkuu unaonekana umebeba maumivu makali sana pole sana nakushauri rudi kijijini kachukue mke huku mjini maigizo meng
Wakijijini nao ni balaa afadhali hata ya wa mjini. Mtoto wa form One ana cim. Na wazazi wake hawajui kaipata wapi. Na amnatumia mda mrefu bila kugundulika. Haya hebu nambie kuna wakijijini hapo?
 
Wana Jf yani nimekoswa koswa vibaya mno, nipeni pole na si rudii tena, nina nia njema ya kuoa lakini sasa nakutana na kina dada ambao sio wazuri, kwanza masharti ya kuoa ni kwamba lazima niende kwao kujitambulisha na nitoe mahari hata kama itakuwa nusu na kuanzia hapo ndio naweza nikanunua zawadi au kumpa pesa anayohitaji na lazima iwe ndani ya uwezo wangu vile vile nitakuwa tayari kuomba papuchi, ila dada zangu wana mpango mwingine ambao sikuutegemea kabisa. Sasa ilikuwa hivi.
1. Nlikutana na dada wa kipare anaishi Moshi tukakubaliana kuoana alichonambia ni kwamba atabipeleka kwao nijitambulishe ila kumchukua rasmi awe mke lazima niwe nimesha nunua gari na nimfungulie biashara ndio atakuja kwangu dah nlichoka sana. Niliamua kupotea kabisa pamoja na kuwa tumeshazoeana na sikuwahi kumuomba papuchi ila yeye kuomba hela ya matumizi balaa na vocha ahaha nlichoka.
2. Haya Nlimtafuta mwingine ambaye anaishi temeke dar kwa kujitandia na swala zote yuko vizuri ukimuona utamuona kweli huyu dini anaishikilia sana yeye ni mtu wa tabora, dah akaomba hela ya chuo nikampa laki na 60 akasema amepoteza simu nikampa tecno ya laki 260 nikamuomba niende kwao akanipa namba ya ndugu yake eti ndio mama yake mwisho wa siku akaniblock fb, whatsapp cm zangu akawa hapokei tena, kumpigia na cm nyingine akanambia nijiheshimu na nikome kumtafuta mke wa mtu dah nlichoka kwanza simu hiyo haikuwa namba yake na majina yake halisi taarifa alizonipa kuhusu kwao na kabila zilikuwa za uongo. Nlichoka sana ila nlimletea noma nikamtangaza fb kiwa ni mwizi akairudisha simu maana sikuwa nimempa na risiti ila pesa ndo hivyo siwezi kuzipata
3. Sikuchoka nikamtafuta mwingine mhehe anaishi tabata tukakubaliana kumbe kadro siku zinavyoenda anaendelea kunisoma kama nina hela, kuna mitandao ya kijamii ambayo alikataa kunambia yumo pamoja na kumuuliza alisema hayupo huko kabisa, na alikataa kunipa namba ya simu tukaendelea ku chat facebook mesenger ila nikaweka mtego wa id nyingine instagram nikamkuta na vidume akisema kuwa ndio mpenzi wake na alikataa katu hana mwanaume dah nlichoka sikumwambia, nlimuomba mshenga ande kwao akanambia nisubiri siwezi kwenda kwao haraka baada ya wiki 2 akanambia yuko shuleni mtoto wa dada yake amefukuzwa anahitaji sh 188,000 nimrushie kwa wakala yupo karibu dah nikashtuka akasema kwann hutaki kujali na kutunza familia yetu ah nikashtuka nikamwambia lazima nije nijitambulishe na nitoe mahari kwanza ndio ntakusaidia na hata mimi siombi papuchi, dah kuanzia siku hiyo akasepa wala hataki kuongea na mm nikasema sawa nimeshtuka mapema.
4. Sikuchoka nikamtafuta mwingine mchaga hapo Moshi dah tukakubaliana nikamwambia kwakuwa unaishi mbali na unakofanyia kazi nikulipie chumba mjini halafu niende nyumbani kujitambulisha akakaa muda sana badae akasema nimpe hela aanze kununua vitu vya ndani ataviweka kwao akitaka kuhama atahama navyo nikasema sawa ntakupa ila niruhusu niende nyumbani kujitambulisha dah akasema bado mapema nikamuuliza kuomba hela hukuona mapemaeeee, baada ya siku 3 akaomba nimuazime laki 3 anashida atalipa taratibu nikaona huyu anacheza na akili yangu nikamwambia mke na mume huwa hawakopeshani nikamuomba mshenga apeleke baruwa kwao akasema nimpe kwanza pesa na bada ya wiki atamruhusu mshenga baada ya siku 2 nikamuuliza kwann hutaki kuwasiliana akasema sijampa hela na anashida dah nikafuta namba yake kabisa.

Jamaniee nimekoma kabisaaa sina hamu ya kuchumbia tena labda miaka ijayo.

Una miaka mingapi, maana ni vichekesho km hizo ndo move zako !!
 
Niliamini kujitambulisha na kutoa mahari ni kumuwekea pingu asifanye yake tena lakini sasa duh timing ndio wanacheza nao. Kutanguliza makabila sio kwa kuyachambua makabila bali ni kumtambulisha mtu binafsi yeye kama yeye alichokifanya
Muombe Mungu kabla hujafanya maamuzi brother
 
Wakijijini nao ni balaa afadhali hata ya wa mjini. Mtoto wa form One ana cim. Na wazazi wake hawajui kaipata wapi. Na amnatumia mda mrefu bila kugundulika. Haya hebu nambie kuna wakijijini hapo?
Hats kama kijijini kumeharibika ila sio wachunaji kama wa mjini
 
Unaweza ukawa unawaonyesha kuwa pesa ipo we ni mambo safi. Usiwalaumu sana.
 
Kwanini u deal na wasichana wa mtandaoni?
Mtaani huishi na binadamu au kazini je!
Utahangaika sana
 
Wana Jf yani nimekoswa koswa vibaya mno, nipeni pole na si rudii tena, nina nia njema ya kuoa lakini sasa nakutana na kina dada ambao sio wazuri, kwanza masharti ya kuoa ni kwamba lazima niende kwao kujitambulisha na nitoe mahari hata kama itakuwa nusu na kuanzia hapo ndio naweza nikanunua zawadi au kumpa pesa anayohitaji na lazima iwe ndani ya uwezo wangu vile vile nitakuwa tayari kuomba papuchi, ila dada zangu wana mpango mwingine ambao sikuutegemea kabisa. Sasa ilikuwa hivi.
1. Nlikutana na dada wa kipare anaishi Moshi tukakubaliana kuoana alichonambia ni kwamba atabipeleka kwao nijitambulishe ila kumchukua rasmi awe mke lazima niwe nimesha nunua gari na nimfungulie biashara ndio atakuja kwangu dah nlichoka sana. Niliamua kupotea kabisa pamoja na kuwa tumeshazoeana na sikuwahi kumuomba papuchi ila yeye kuomba hela ya matumizi balaa na vocha ahaha nlichoka.
2. Haya Nlimtafuta mwingine ambaye anaishi temeke dar kwa kujitandia na swala zote yuko vizuri ukimuona utamuona kweli huyu dini anaishikilia sana yeye ni mtu wa tabora, dah akaomba hela ya chuo nikampa laki na 60 akasema amepoteza simu nikampa tecno ya laki 260 nikamuomba niende kwao akanipa namba ya ndugu yake eti ndio mama yake mwisho wa siku akaniblock fb, whatsapp cm zangu akawa hapokei tena, kumpigia na cm nyingine akanambia nijiheshimu na nikome kumtafuta mke wa mtu dah nlichoka kwanza simu hiyo haikuwa namba yake na majina yake halisi taarifa alizonipa kuhusu kwao na kabila zilikuwa za uongo. Nlichoka sana ila nlimletea noma nikamtangaza fb kiwa ni mwizi akairudisha simu maana sikuwa nimempa na risiti ila pesa ndo hivyo siwezi kuzipata
3. Sikuchoka nikamtafuta mwingine mhehe anaishi tabata tukakubaliana kumbe kadro siku zinavyoenda anaendelea kunisoma kama nina hela, kuna mitandao ya kijamii ambayo alikataa kunambia yumo pamoja na kumuuliza alisema hayupo huko kabisa, na alikataa kunipa namba ya simu tukaendelea ku chat facebook mesenger ila nikaweka mtego wa id nyingine instagram nikamkuta na vidume akisema kuwa ndio mpenzi wake na alikataa katu hana mwanaume dah nlichoka sikumwambia, nlimuomba mshenga ande kwao akanambia nisubiri siwezi kwenda kwao haraka baada ya wiki 2 akanambia yuko shuleni mtoto wa dada yake amefukuzwa anahitaji sh 188,000 nimrushie kwa wakala yupo karibu dah nikashtuka akasema kwann hutaki kujali na kutunza familia yetu ah nikashtuka nikamwambia lazima nije nijitambulishe na nitoe mahari kwanza ndio ntakusaidia na hata mimi siombi papuchi, dah kuanzia siku hiyo akasepa wala hataki kuongea na mm nikasema sawa nimeshtuka mapema.
4. Sikuchoka nikamtafuta mwingine mchaga hapo Moshi dah tukakubaliana nikamwambia kwakuwa unaishi mbali na unakofanyia kazi nikulipie chumba mjini halafu niende nyumbani kujitambulisha akakaa muda sana badae akasema nimpe hela aanze kununua vitu vya ndani ataviweka kwao akitaka kuhama atahama navyo nikasema sawa ntakupa ila niruhusu niende nyumbani kujitambulisha dah akasema bado mapema nikamuuliza kuomba hela hukuona mapemaeeee, baada ya siku 3 akaomba nimuazime laki 3 anashida atalipa taratibu nikaona huyu anacheza na akili yangu nikamwambia mke na mume huwa hawakopeshani nikamuomba mshenga apeleke baruwa kwao akasema nimpe kwanza pesa na bada ya wiki atamruhusu mshenga baada ya siku 2 nikamuuliza kwann hutaki kuwasiliana akasema sijampa hela na anashida dah nikafuta namba yake kabisa.

Jamaniee nimekoma kabisaaa sina hamu ya kuchumbia tena labda miaka ijayo.
Njoo pm na mie nikuchune baby ntakupenda sana
 
Kwa style iyo utachunwa hadi ubabuke maana inaonekana domo zege ndo maana unakimbilia mshenga ukizan wanawake nao malofa.Tz ya sasa huwez kukimbiwa na dem ivi ivi tena unagawa miamala kama huna akili nzuri.Tatizo ni wewe mwenyewe mana mke atafutwi ivyo ndugu.
 
Mkuu wanawake wa Fb watakuotezea mda sana, tongoza physically tu
 
Ukitaka kufanikiwa kwanza toka nje ya sehemu walikokuzoea nenda sehemu tofauti na wewe ulipokulia, usionyeshe kama unataka kuoa jifanya playball tu lazima mtakutana anaekupenda au anaetaka kuolewa lakini wewe ukijifanya unataka kuoa mara nyingi unakutana na vicheche tu
 
Nina wasiwasi na unavyowa approach hao wadada, siku zote hawa wasichana wa mjini wakiona unaharaka na ndoa kabla yeye hajaonyesha hisia zake kwako lazima wakuchezee hiyo michezo
 
Weeeeeeee mahati haitolewi kwenye akaunti namba weeeeeee in person. Unataka kuwa kama mchaga mwingine alinambia nitume baruwa kwa njia ya posta maana anajua ntaweka na hela ya kusomea baruwa sasa nlichokifanya nlituma na sikuweka hela nasikia alimtuma kaka yake wakaichukue baruwa wamletee yeye
nimekutumia account namba umeiona?
 
wachumba wa fb.. si wa mchezo mchezo
tuliza akili tumia muda kutafuta..
 
Hata hivyo tangu tar 09.01.2017, shule zimefunguliwa. Nenda shule
 
Mke hatafutwi Facebook,Instagram

Utapotea kijana
 
Tatizo mnapotongoza mnatanguliza vipato vyenu na kuonekana mnazo,mkiombwa baadae mnalialia...mbona mimi uwaga nakaza bure kabisa ivi mnachunwaje au ni bahati yangu!!! Na ninazo cash
 
Back
Top Bottom