Nimekoswa koswa, kina dada hatari sana

Nimekoswa koswa, kina dada hatari sana

Dah.... Nani asiyependa pesa aisee...Leo hii Mark Elliot Zuckerberg akitangaza kutafuta mke.... hata wake za watu wataapply[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Man umeongea fact lakin mchizi alishaoa sikunyingi... alaf mke wake mwanamke wa kawaida tu... sio hata superstar... wala c mtu wa kujishebedua mitandaoni.
 
Wengine huwa hatujui wanawake Wa nataka nini...! Nyege zikizidi unaenda kununua tu achana na mademu wanaigeuza boy friend dingi
 
why kila mwanamke akulilie shida wewe tu kila siku hujajiangalia njia zako unazotumia kuanzisha mahusiano zinawapelekea kuwa hvyo?
 
Utakuw unanyota ya kuchunwa mkuu. Wanawake wapo wengi usiwabembeleze sana. Nenda nao taratibu hata papuchi za bure utapata tu. Kuhusu mwanamke wakuoa utachagua baadae baada ya kuonja k na kumsoma tabia yake
 
Brother umekutana na matukio kama vile series LA kibongo na love story. Mapenzi shida. Bora wewe unashtukia mapema. Ogopa ile upo ndani ya ndoa ndo unakuja gundua kipenzi chako alikua AME invest kwako for those years. Utapanic, stress kibao. Ndo ile unajikuta unahama dini na kuongeza another wife.
 
Mara uko temeke mara uko mosh Mar tabata afu ukarud ten moshi duh mzee unaendesha magar makubwa au unatunga stor
 
Tulia kwanza, muombe Mola usikate tamaa kabisa brother, BWANA akufanyie wepesi ukutane na mke wa kuoa, uoe ili hizo hela utoe kutunza familia na siyo MAKAHABA WASTAARABU.
 
Hapo huwezi kupata mke Mkuu, Wanawake Gani huwa unaazia fb?, Wewe unatakiwa uwe serious kwanza usichukue mademu wa social media ndipo uazenao mahusiano, utapigwa tu
 
Bado hujapata mke Mwema.
halafu nahisi kuna type ya watu unaitafuta ndio inakuzingua, pia rika LA mwanammke, na namna unavoishi nae ndio maana wanaku-treat hivo...
badili rika la mwanamke, aina ya mwanammke unaemtafuta, na tabia yako ....utapata tu!
kila La kheri
 
huyu jamaa nimempenda kitu kimoja wala hana time na papuchi yeye anataka account namba tu ya kutumia mahari.una namba yake unipe nimpigie ?
Weeeeeeee mahati haitolewi kwenye akaunti namba weeeeeee in person. Unataka kuwa kama mchaga mwingine alinambia nitume baruwa kwa njia ya posta maana anajua ntaweka na hela ya kusomea baruwa sasa nlichokifanya nlituma na sikuweka hela nasikia alimtuma kaka yake wakaichukue baruwa wamletee yeye
 
Back
Top Bottom