naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,438
Wanakuona boya sana ndo maana wanataka kukudungua afu wasepe
Mhhhhila mkuu unatuma miamala hadi nimekupenda ghafla njoo unioe nakupa adress ya home kabisa uwatumie muamala wa mahari
Nlichoka sana ila nlimletea noma nikamtangaza fb kiwa ni mwizi akairudisha simu maana sikuwa nimempa na risiti ila pesa ndo hivyo siwezi kuzipata.
ahahaa yaani mshenga kiatu kimeisha soliStory nzuri. Huyo mshenga wako nae sijui nimchoreje kila leo analetewa raman mpya ya kwenda kutoa posa.
ahahaa yaani mshenga kiatu kimeisha soli
TUACHE KUBEMBELEZA WANAWAKE, HIYO NI MIJINGA NA MIFINYO YA MAWAZO. WANAWAKE WA MIAKA YA 90,92 HAKUNA KITU UMO!Wana Jf yani nimekoswa koswa vibaya mno, nipeni pole na si rudii tena, nina nia njema ya kuoa lakini sasa nakutana na kina dada ambao sio wazuri, kwanza masharti ya kuoa ni kwamba lazima niende kwao kujitambulisha na nitoe mahari hata kama itakuwa nusu na kuanzia hapo ndio naweza nikanunua zawadi au kumpa pesa anayohitaji na lazima iwe ndani ya uwezo wangu vile vile nitakuwa tayari kuomba papuchi, ila dada zangu wana mpango mwingine ambao sikuutegemea kabisa. Sasa ilikuwa hivi.
1. Nlikutana na dada wa kipare anaishi Moshi tukakubaliana kuoana alichonambia ni kwamba atabipeleka kwao nijitambulishe ila kumchukua rasmi awe mke lazima niwe nimesha nunua gari na nimfungulie biashara ndio atakuja kwangu dah nlichoka sana. Niliamua kupotea kabisa pamoja na kuwa tumeshazoeana na sikuwahi kumuomba papuchi ila yeye kuomba hela ya matumizi balaa na vocha ahaha nlichoka.
2. Haya Nlimtafuta mwingine ambaye anaishi temeke dar kwa kujitandia na swala zote yuko vizuri ukimuona utamuona kweli huyu dini anaishikilia sana yeye ni mtu wa tabora, dah akaomba hela ya chuo nikampa laki na 60 akasema amepoteza simu nikampa tecno ya laki 260 nikamuomba niende kwao akanipa namba ya ndugu yake eti ndio mama yake mwisho wa siku akaniblock fb, whatsapp cm zangu akawa hapokei tena, kumpigia na cm nyingine akanambia nijiheshimu na nikome kumtafuta mke wa mtu dah nlichoka kwanza simu hiyo haikuwa namba yake na majina yake halisi taarifa alizonipa kuhusu kwao na kabila zilikuwa za uongo. Nlichoka sana ila nlimletea noma nikamtangaza fb kiwa ni mwizi akairudisha simu maana sikuwa nimempa na risiti ila pesa ndo hivyo siwezi kuzipata
3. Sikuchoka nikamtafuta mwingine mhehe anaishi tabata tukakubaliana kumbe kadro siku zinavyoenda anaendelea kunisoma kama nina hela, kuna mitandao ya kijamii ambayo alikataa kunambia yumo pamoja na kumuuliza alisema hayupo huko kabisa, na alikataa kunipa namba ya simu tukaendelea ku chat facebook mesenger ila nikaweka mtego wa id nyingine instagram nikamkuta na vidume akisema kuwa ndio mpenzi wake na alikataa katu hana mwanaume dah nlichoka sikumwambia, nlimuomba mshenga ande kwao akanambia nisubiri siwezi kwenda kwao haraka baada ya wiki 2 akanambia yuko shuleni mtoto wa dada yake amefukuzwa anahitaji sh 188,000 nimrushie kwa wakala yupo karibu dah nikashtuka akasema kwann hutaki kujali na kutunza familia yetu ah nikashtuka nikamwambia lazima nije nijitambulishe na nitoe mahari kwanza ndio ntakusaidia na hata mimi siombi papuchi, dah kuanzia siku hiyo akasepa wala hataki kuongea na mm nikasema sawa nimeshtuka mapema.
4. Sikuchoka nikamtafuta mwingine mchaga hapo Moshi dah tukakubaliana nikamwambia kwakuwa unaishi mbali na unakofanyia kazi nikulipie chumba mjini halafu niende nyumbani kujitambulisha akakaa muda sana badae akasema nimpe hela aanze kununua vitu vya ndani ataviweka kwao akitaka kuhama atahama navyo nikasema sawa ntakupa ila niruhusu niende nyumbani kujitambulisha dah akasema bado mapema nikamuuliza kuomba hela hukuona mapemaeeee, baada ya siku 3 akaomba nimuazime laki 3 anashida atalipa taratibu nikaona huyu anacheza na akili yangu nikamwambia mke na mume huwa hawakopeshani nikamuomba mshenga apeleke baruwa kwao akasema nimpe kwanza pesa na bada ya wiki atamruhusu mshenga baada ya siku 2 nikamuuliza kwann hutaki kuwasiliana akasema sijampa hela na anashida dah nikafuta namba yake kabisa.
Jamaniee nimekoma kabisaaa sina hamu ya kuchumbia tena labda miaka ijayo.
Mmoja tu ndio wa mtandaoni na akaomba pesa atumiwe wengine wote tulikuwa tukionana liveNi upumbavu wa hali ya juu kutongoza mitandaoni alafu unatuma na pesa kabisa bila shaka wewe ni wa kanda ya ziwa haya mafacebook mmeyajulia juzi baada ya kuja mjini.
huyu jamaa nimempenda kitu kimoja wala hana time na papuchi yeye anataka account namba tu ya kutumia mahari.una namba yake unipe nimpigie ?yani wewe mzuri wa kuchunwa nakupeleka kwetu halafu nakuchuna mpaka ukome
nataka niende kumwomba kule mafichonihuyu jamaa nimempenda kitu kimoja wala hana time na papuchi yeye anataka account namba tu ya kutumia mahari.una namba yake unipe nimpigie ?
Kwa hiyo ina maana hakuna hata mmoja uliyemvua chupi...pole sana kijanaWana Jf yani nimekoswa koswa vibaya mno, nipeni pole na si rudii tena, nina nia njema ya kuoa lakini sasa nakutana na kina dada ambao sio wazuri, kwanza masharti ya kuoa ni kwamba lazima niende kwao kujitambulisha na nitoe mahari hata kama itakuwa nusu na kuanzia hapo ndio naweza nikanunua zawadi au kumpa pesa anayohitaji na lazima iwe ndani ya uwezo wangu vile vile nitakuwa tayari kuomba papuchi, ila dada zangu wana mpango mwingine ambao sikuutegemea kabisa. Sasa ilikuwa hivi.
1. Nlikutana na dada wa kipare anaishi Moshi tukakubaliana kuoana alichonambia ni kwamba atabipeleka kwao nijitambulishe ila kumchukua rasmi awe mke lazima niwe nimesha nunua gari na nimfungulie biashara ndio atakuja kwangu dah nlichoka sana. Niliamua kupotea kabisa pamoja na kuwa tumeshazoeana na sikuwahi kumuomba papuchi ila yeye kuomba hela ya matumizi balaa na vocha ahaha nlichoka.
2. Haya Nlimtafuta mwingine ambaye anaishi temeke dar kwa kujitandia na swala zote yuko vizuri ukimuona utamuona kweli huyu dini anaishikilia sana yeye ni mtu wa tabora, dah akaomba hela ya chuo nikampa laki na 60 akasema amepoteza simu nikampa tecno ya laki 260 nikamuomba niende kwao akanipa namba ya ndugu yake eti ndio mama yake mwisho wa siku akaniblock fb, whatsapp cm zangu akawa hapokei tena, kumpigia na cm nyingine akanambia nijiheshimu na nikome kumtafuta mke wa mtu dah nlichoka kwanza simu hiyo haikuwa namba yake na majina yake halisi taarifa alizonipa kuhusu kwao na kabila zilikuwa za uongo. Nlichoka sana ila nlimletea noma nikamtangaza fb kiwa ni mwizi akairudisha simu maana sikuwa nimempa na risiti ila pesa ndo hivyo siwezi kuzipata
3. Sikuchoka nikamtafuta mwingine mhehe anaishi tabata tukakubaliana kumbe kadro siku zinavyoenda anaendelea kunisoma kama nina hela, kuna mitandao ya kijamii ambayo alikataa kunambia yumo pamoja na kumuuliza alisema hayupo huko kabisa, na alikataa kunipa namba ya simu tukaendelea ku chat facebook mesenger ila nikaweka mtego wa id nyingine instagram nikamkuta na vidume akisema kuwa ndio mpenzi wake na alikataa katu hana mwanaume dah nlichoka sikumwambia, nlimuomba mshenga ande kwao akanambia nisubiri siwezi kwenda kwao haraka baada ya wiki 2 akanambia yuko shuleni mtoto wa dada yake amefukuzwa anahitaji sh 188,000 nimrushie kwa wakala yupo karibu dah nikashtuka akasema kwann hutaki kujali na kutunza familia yetu ah nikashtuka nikamwambia lazima nije nijitambulishe na nitoe mahari kwanza ndio ntakusaidia na hata mimi siombi papuchi, dah kuanzia siku hiyo akasepa wala hataki kuongea na mm nikasema sawa nimeshtuka mapema.
4. Sikuchoka nikamtafuta mwingine mchaga hapo Moshi dah tukakubaliana nikamwambia kwakuwa unaishi mbali na unakofanyia kazi nikulipie chumba mjini halafu niende nyumbani kujitambulisha akakaa muda sana badae akasema nimpe hela aanze kununua vitu vya ndani ataviweka kwao akitaka kuhama atahama navyo nikasema sawa ntakupa ila niruhusu niende nyumbani kujitambulisha dah akasema bado mapema nikamuuliza kuomba hela hukuona mapemaeeee, baada ya siku 3 akaomba nimuazime laki 3 anashida atalipa taratibu nikaona huyu anacheza na akili yangu nikamwambia mke na mume huwa hawakopeshani nikamuomba mshenga apeleke baruwa kwao akasema nimpe kwanza pesa na bada ya wiki atamruhusu mshenga baada ya siku 2 nikamuuliza kwann hutaki kuwasiliana akasema sijampa hela na anashida dah nikafuta namba yake kabisa.
Jamaniee nimekoma kabisaaa sina hamu ya kuchumbia tena labda miaka ijayo.
Umekuja lini mjini?Mmoja tu ndio wa mtandaoni na akaomba pesa atumiwe wengine wote tulikuwa tukionana live