Unajua huyu NIMPENDENANI ni mhenga mwenzangu na huwa tunapatana hapa JF ila akiwa na issue yake yupo conservative ile mbaya. Sisi hukubali ushauri wake ila yeye huwa hakubali. Sasa ona kuna ka enemity kanaanza katika familia yake na mwisho wa siku wataoana tu iwe aibu kwake.Atakuwa ameona
Huyo kakupotosha angalia huyu naye katoa msimamo wa kiume Nimekosea Wapi?Mkuu Ahsante sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa zaidi ya sanaaaaaaaaaaa,kwakusimama na mimi japo hunijua ila mwenyezi mungu ndio atakae kulipa kwani sio rahisi mtu kunielewa nna maana gani,na ndio mana kuna time hua nalia sababu angekuwepo mama afadhali angenisaidia, naandika huku machozi yananitoka nahisi napiga peke yangu na hakuna wakunielewa japo kwa mawazo, najiuliza kwanini hawanielewi? mabo mengi yapo wazi family wanagombana kisa watoto wao,why wanataka kumuweka huyu mdogo wetu kwenye matatizo?
Bro wangu anasema unavyotaka wewe ndio hivyo hivyo ila hasimami na kuongea yuko busy na life yake anasema hao watu ni visiki hakuna haja ya kuwaelimisha hawaelewi,anyway ahasante sana mwenyezi mungu akupe busara hiyo hiyo na hekma..
Hahahahaha kweli sheikh ila changamoto zake ni tofauti na asiye na Phd mbona utajuta kama huna msimamo..teh hee hee
.sheikh kufumba macho sio kujificha ujue!
Kwani alishajihusisha kimapenzi na huyo shemejio au ni mipango tuu ambayo bado haijawa na tija?Kweli kabisa ila sina nia mbaya na mdogo wangu..
Inshaallah atakuelewa mungu ni bingwa Wa mitihani iliyoshindikana kwake ni mirahisiInawezekana halioni sababu ni normal thing kwenye familia ila mara nyingi sana hua namuelimisha pindi wanapo gombana
hua namwambia unaona ingekua mtu wa nje unajua una solve vipi,mfano mtoto wa Baba mkubwa anampeleka mtoto wa baba mdogo mahakamani kisa anataka amkomoe amkodishie nyumba alipe school fees ya watoto,kwangu naona sio sawa na hao wazee kila mmoja ana vutia kwa mwanawe,mimi nikiwa na issue na mume wangu wanakuja kama nyuki wote wanakua pamoja mpaka sipeleki tena kesi yangu kwao wanamsema mumewangu mpaka namuonea huruma..
sasa staki na yeye awe na akili kama yao na yeye ndio namtegemea sana kwenye malezi ya watoto wangu ndio mana najaribu kumtayarisha Inshallah anielewe..
Ameen..Inshaallah atakuelewa mungu ni bingwa Wa mitihani iliyoshindikana kwake ni mirahisi
Niwe mkweli,shemeji anaishi America,mdogo wangu ana soma South Africa,kama kuonana nikipindi cha likizo once a year na inakua 15-30days hua wanakuwepo,sasa sijui ila siunajua moyo wa mtu huwezi kumsemea..Kwani alishajihusisha kimapenzi na huyo shemejio au ni mipango tuu ambayo bado haijawa na tija?
I wish ingekua hivyo wallah things ingekua very Simple,ila una ongea na watu wazima wanaofata mila na hawaelewi wao kuolewa na mtu wa nje wanaona kama vile umedharau why ukaolewe na mtu wa nje wakati wanaume au wanawake wapo ndani yani hua nashindwa kuelewa logic yao kabisaaaa...Kuna mambo ya kujadiliana ili kufikia myafaka ila mengine hayahitaji mijadala ni kufunga tu kuwa hilo sitaki bas unaendelea na shughuli zako
Inshallah ila chances are very slim,sio rahisi ila kuna hope nimepata kutoka kwa watu humu nawashukuru sana na wengine nje ya hapa ntajitahidi kuyafanyia kazi ...Tuletee mrejesho kama umeafiki harusi au la.
Ndo inatakiwa ukae nae kirafiki ili akuweke wazi bila kukuficha kuwa kama walishashiriki mapenzi au laah, kama tayari muulize maamuzi yake binafsi maana kwenye mapenzi kuna mengi hujui waliongea nini kipindi wapo sexy mood, kumbuka kukaa nae kirafiki ukikaa kama dada Mtu wallah usitegemee ukweli maana kuna mambo atakuficha lakini rafiki huambiwa kila kitu hivyo ikiwa hajafanya chchote nae itakuwa rahisi kumpotezea ila ajiweke mbali nae maana kutafanyika makusudi ili kumuweka mtegoni na kama ikiwa tayari mpe nafasi ya Uchaguzi akiridhia kumtema inibidi amkwepe pia hata likizi zipishane mpaka apate mwingine na akimpata ajitahidi kumuweka wazi Kwa kila ndugu na marafiki ili yule afute mawazo ya kuwa nae abadan lah sivyo atasomewa gep na atawekewa cha mtoto makusudi kuzima ndoto zake ili akubali matakwa ya hao shemeji na familia yake, na aibu itarudi kwako maana umekuwa mpinzani waoNiwe mkweli,shemeji anaishi America,mdogo wangu ana soma South Africa,kama kuonana nikipindi cha likizo once a year na inakua 15-30days hua wanakuwepo,sasa sijui ila siunajua moyo wa mtu huwezi kumsemea..
urumrawi,sio nakata wallah sijisifu ila napenda kua au najitahidi kua muelewa na nakua mkinya kwenye issue ambazo sio za lazima,ila kama kuna kitu kita kua na madhara baadae hua napenda kuingilia kati mpaka nione tija, sasa kwenye hili sio sawa..Unajua huyu NIMPENDENANI ni mhenga mwenzangu na huwa tunapatana hapa JF ila akiwa na issue yake yupo conservative ile mbaya. Sisi hukubali ushauri wake ila yeye huwa hakubali. Sasa ona kuna ka enemity kanaanza katika familia yake na mwisho wa siku wataoana tu iwe aibu kwake.
Ahsante nimtihani mkubwa kwangu huu ila inshallah kheir..Ndo inatakiwa ukae nae kirafiki ili akuweke wazi bila kukuficha kuwa kama walishashiriki mapenzi au laah, kama tayari muulize maamuzi yake binafsi maana kwenye mapenzi kuna mengi hujui waliongea nini kipindi wapo sexy mood, kumbuka kukaa nae kirafiki ukikaa kama dada Mtu wallah usitegemee ukweli maana kuna mambo atakuficha lakini rafiki huambiwa kila kitu hivyo ikiwa hajafanya chchote nae itakuwa rahisi kumpotezea ila ajiweke mbali nae maana kutafanyika makusudi ili kumuweka mtegoni na kama ikiwa tayari mpe nafasi ya Uchaguzi akiridhia kumtema inibidi amkwepe pia hata likizi zipishane mpaka apate mwingine na akimpata ajitahidi kumuweka wazi Kwa kila ndugu na marafiki ili yule afute mawazo ya kuwa nae abadan lah sivyo atasomewa gep na atawekewa cha mtoto makusudi kuzima ndoto zake ili akubali matakwa ya hao shemeji na familia yake, na aibu itarudi kwako maana umekuwa mpinzani wao